Midimay
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 3,036
- 5,039
Hakuna mabumunda kwenye wabunge wetu. Haifai kutokuwa na regional representation kwenye baraza.Hiyo regional representation ni ipi? Umehesabu kila mkoa wapo wangapi? Tukikimbilia regional representation tunaweza kukosa watu sahihi tukaishia kupata mabumunda.
Ningefarijika kuona ukisema labda flani hafai kwa sababu hizi na hizi badala ya kusema regional representation.
Huo ndio ulikuwa mila, desturi na utamaduni wetu toka uhuru.
Msipuuzie kwa kupendeleana.