Kila kiongozi ana malengo yake, na ili yatimie, lazima team iundwe. Kifuatacho ni uchaguzi, swala la kuweka watendaji wa kuwatumikia wananchi halipo.Soma lawama na uielewe, sijasema nani hafai.
Baraza lazima li reflect NATIONAL representation.
Nothing kess.
Yah right. Uwezo wa Watanzania wa eneo fulani unabadilika au kuongezeka kutokana na Rais aliyeko madarakani.Kama wana uwezo na ni wa Tanzania ni sawa, tofauti na hapo tusiingie kwenye siasa za kidini na ukabila.
Sisi sote ni wa Tanzania, kikubwa tuangalie uwezo wa mtu na nafasi aliyowekwa, kuhoji wanatokea wapi ni kama uchochezi.
Regional Representation ni tunu adimu aliyoitumia baba wa Taifa kujenga umoja na mshikamano.Sidhani kama regional representation ni kitu official bali kilianzishwa na Mkapa ili apate political support kubwa pande zote za nchi.
Hawa walitoka mkoa mmoja kwaniEnzi zile sasa
1. Bitteko-home kabisa
2. Kalemani- Wa sebuleni
3. Mabula- wa nyumbani
Achana na hao wa Shinyanga sijataka kuwajumuisha.
Kanda na mkoa ni vitu 2 tofauti, kanda yaweza kuwa na mikoa zaidi ya 3. Hapa tunaongelea mkoa wa PWANIHebu tupe idadi ya kanda ya ziwa
Kanda ya kaskazini.
Kanda ya nyanda za juu kusini...
Hizi siasa za kifala, watoto wetu watakuja kutudharau sana
Anafikir wte wanatoka Geita mkuuMikoa mingapi hapo sasa?
Hiyo paragraph ya mwisho inafikirisha sanaaa... Unamtoa Mchengelwa na kumuweka Jenista??? Kiukweli sijawahi kuelewa vigezo vya hizi teuzi..1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze
2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji
3. Jafo Mbunge wa Kisarawe
4. Kipanga Mbunge wa Mafia
5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga
Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa Wabunge Hawa kwenye mikakati ya Taifa?
Lakini pia nikimaliza kushangaa Pwani najiuliza ni kweli sub ya Mchengelwa pale ofisi ya RAIS Utumishi ni Jenister Mhagama? Kwamba Jenister akatatue changamoto za Utumishi nchini?
Inashangaza sana... Mkoa kama Mara unakosaje mbunge wa kuwa Waziri au Naibu?Mikoa iko 26.
Nimehesabu nafasi za Uwaziri au Naibu Waziri 51.
Sasa hapo mtu hawezi kushindwa kucheza na matrix ya kujenga utaifa.
Mabula sio mwanza?, sasa Mwanza na chato wapi na wapi au tatizo ni kuongea Kisukuma???Enzi zile sasa
1. Bitteko-home kabisa
2. Kalemani- Wa sebuleni
3. Mabula- wa nyumbani
Achana na hao wa Shinyanga sijataka kuwajumuisha.
Tena wengine waliwapa majimbo ya kanda zingine ili tuone amebalance kuomba kupokezana bhanaMmeanza kutafuta chochoko,
Enzi zile mbona Baraza lilijaa wasukuma na hatukusema[emoji4]
Hebu wataje? Make wengi mnachanganya Mkoa na Kanda, wataje mkuu!Awamu ya tano kuna mawaziri 5 walitoka mkoa mmoja...?!
Hapa Ingekua Magufuli katoa Mkoa wa Geita Mawaziri watano Mkoa mmoja. Mitandao ingepasuka. Kunaunafiki mwingi sana nchi hii. Wasukuma wapo kabla ya Tanzania na watakuwepo baada ya Tanzania imani yao ni kilimo na ufugaji. Biashara na siasa wamejifunza hivi karibuni.1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze
2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji
3. Jafo Mbunge wa Kisarawe
4. Kipanga Mbunge wa Mafia
5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga
Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa Wabunge Hawa kwenye mikakati ya Taifa?
Lakini pia nikimaliza kushangaa Pwani najiuliza ni kweli sub ya Mchengelwa pale ofisi ya RAIS Utumishi ni Jenister Mhagama? Kwamba Jenister akatatue changamoto za Utumishi nchini?
Na asikudanganye mtu mikoa yenye mawaziri au naibu waziri wakazi wake wananufaika kweli labda waziri au naibu waziri awe ajitambui.Mkoa ninaotoka waziri anawakimbiza watumishi usiseme na hakuna kinachokwama, ukikwama unamtwangia simu naye hapohapo anawatwangia simu utaona watumishi wanakimbizana humo ofisini.Mikoa ya Rukwa na Morogoro haijapata waziri wala naibu hata mmoja. Kama yupo naomba nisahihishwe.
Unachukuaje mawaziri 3 kutoka mkoa wa Tanga, mawaziri na manaibu kutoka majimbo karibia yote ya mkoa wa Pwani
Lkn mikoa ya Morogoro na Rukwa haina hata naibu waziri?
Hilo baraza lina sura ya kitaifa kweli?
Kuna watu wenye sifa? Je waideology Moja na Rais Ili wawe wasaidizi wazuri?Mkoa mzima wa Mara hauna hata naibu Waziri, hii ni dharau kwa Hayati JK Nyerere
Wangekua Kanda ya Ziwa Mkoa mmoja Mawaziri wawili kungenuka hapa. Mfano Mkoa wa Mara hakuna Waziri tangu 2020 siyo issue. Mkoa wa simiyu 1 Shy hakuna Kuna naibu, Mwanza wamepata Waziri kamili awamu hii 1. Mkoa wa Geita 1 Waziri.Kumbe watano tu hakuna kibaya japo wakitoka kanda ya ziwa hata wawili husemwa sana hasa kipindi kile.
Am done for today
Kwann unaitoa Tanga?Kanda ya kaskazini bila Tanga; kuna waziri mmoja na manaibu watatu. Hiyo ni mikoa mitatu ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara.
Magufulia hakuawahi kuweka Mawaziri hata 3 Mkoa mmoja taja mfano hapaMmeanza kutafuta chochoko,
Enzi zile mbona Baraza lilijaa wasukuma na hatukusema[emoji4]