Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

Ukishakuwa na mzigo mkubwa wa majukumu alafu umeshika ofisi nyeti serikalini lazima uwe umbwa tu kufata maelekezo hata kama ya kipuuzi kulinda ugali wako na familia.
 
Alikuwa anawamudu vizuri tuu, kwa hizi shule zq sh 1.5M alimudu kuwasomesha vizuri tuu. Maana mshahara ya miezi miwili ada na school basi zinawatosha.
Huyo lazma alikuwa ni fisadi tu. Dalili xote zinaonesha hvo ndo maana gari ni la Wachina na dreva aliye stahafu. Watu waache kujitoa ufahamu pse.
 
Hoja yako ina mashiko mkuu. Mtafute mbunge wako apeleka hoja Bungeni kupitia mwakilishi wako ya kuomba sasa Serikali iruhusu Watumishi wasiwekewe sheria ya kuzaa watoto 4 tu lakini pia habari ya uzazi wa mpango ifutiliwe mbali Tanzania. Simple.
Kwani mkuu uzazi wa mpango ni kuzaa watoto wachashe?
 
Wanasema ukitaka kujua tabia na uhalisi wa mtu mpe PESA NA MADARAKA. Lazma ataonesha rangi zake tu!!!
 
Huyo lazma alikuwa ni fisadi tu. Dalili xote zinaonesha hvo ndo maana gari ni la Wachina na dreva aliye stahafu. Watu waache kujitoa ufahamu pse.
Kwani mkuu KIongozi ni kosa kuajiri dereva wa Nyumbani?
 
Kumbe alikuwa mshenzi, anazaa kama mwehu
Mtake radhi mwamba.. Mwendazake ametendea haki manhood, brotherhood and every malehood in this world and the next.
Rest well Mwamba kabisa, I salute you, bado nifertilize 10 more eggs nikufikie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…