Ni jambo la ajabu na kushangaza kwamba habari kubwa zaidi ya mtu aliyeyekuwa anaongoza kampuni yenye ukubwa wa zaidi ya Trillion 1 alipofariki ni kuacha watoto 15!
Katika jamii inayojielewa jaikapuswa kuwa hivyo, legacy kubwa haikupaswa kuwa ufyatuaji bali legacy iliyotakiwa kusambaa na kuwa habari kubwa zaidi ni idadi ya Watanzania waliopata umeme akiwa CEO, utulivu na upatikanaji wa uhakika wa umeme, kupungua kwa ufisadi, kuongezeka ufanisi, kupungua kwa gharama za umeme n.k
Wachina walio vizuri kiuchumi, duniani wao ni 2nd best economy country lakn wana ruksa ya kuwa na mtoto 1 tu.Binafsi hiyo sio habari ni jambo la kawaida mno, unao uwezo wa kulea vizuri fyatua vyuma hatupo uchina hapa.
Wachina walio vizuri kiuchumi, duniani wao ni 2nd best economy country lakn wana ruksa ya kuwa na mtoto 1 tu.
Leo wanakuja Tanganyika wana kuhonga gari na pesa ili ulee wake 2 na watoto 15!!! Halafu uwape kazi walipwe Mabilioni na Serikali yako wapeleka kwao kulea mke 1 mtoto 1. Think big!!!
Wachina wanaishi kwa kubanana kama kuku wa biashara kwenye mabanda/cages, ndio maana wengine wamekuja kuishi bongo.Population ya China unaijua vizuri lakin?
I have been in China. Population density yao kwa sasa inakaribia 1.4B. Cjui unataka kusema nn....!!?Population ya China unaijua vizuri lakin?
Angeachiwa urithi kwasababu gani? Kwasababu ni kwao au ni kwake?Hapo alipopanga au kujenga anapoishi na watoto wake na wake zake ndio kwake, kwa wazazi wake ni kwa wazazi wake ambapo wangemuachia urithi endapo wangefariki mapema kabla yake.
Kama ulimsikia N/PM na Waziri Nishati Mhe. Biteko amesema marehemu ndo alikokotoa gharama za kupata Umeme wa 27,000/= huko vijijini(REA). Just part of his minor legacy!!Hata mimi nilitegemea kusoma legacy hiyo nzuri kwa watanzani wengi kupata umeme chini ya uongozi wake badala yake nasoma habari kaacha watoto 15 wakati hiyo idadi ni kawaida huku madongokuinama tena kuzidi hiyo
Kwa sababu wazazi ndio wanatakiwa waachie watoto wao urithi.Angeachiwa urithi kwasababu gani? Kwasababu ni kwao au ni kwake?
Haujajibu swali uliloulizwa jibu swali ulioloulizwaKwa sababu wazazi ndio wanatakiwa waachie watoto wao urithi.
Kawaida ya Kuria na Zanaki tribes, huoa mapema sana. Nakumbuka nikiwa shule ya upili ktk moja ya shule za kanda ya Ziwa nilikuwa na marafiki zangu Wakurya. Mtu ameanza F-1 tu tayar ana mke na watoto 2!Tuambieni ambao hatujui. Sisi wengine tunasikia jamaa alioa wake watatu kabla ya kwenda hata chuo.
He was a producing machine
Sijamlaumu kwa kufyatua watoto, nimeuliza kwa nini hiyo iwe ndio habari kubwa zaidi inayomuhusu kuliko nyingine ambazo zngekuwa na maslahi makubwa kwa umma kwa hadhi yake marehemu aliyokuwa nayo.Ukienda Japan, ukakaa mwezi, naamini ukirudi huwezi mlaum tena Mkurugenzi Kwa kufyatua watoto mfululu.
Wanawahudumiaje hao wake zao na watoto wakiwa bado wadogo hivyo tena kidato cha kwanza?Kawaida ya Kuria na Zanaki tribes, huoa mapema sana. Nakumbuka nikiwa shule ya upili ktk moja ya shule za kanda ya Ziwa nilikuwa na marafiki zangu Wakurya. Mtu ameanza F-1 tu tayar ana mke na watoto 2!
You know what? Kwa msemo wa Newsmen, " No news is good news" Kwa Watz na Wanahabari wengi, habari mbaya ndiyo habari.Sijamlaumu kwa kufyatua watoto, nimeuliza kwa nini hiyo iwe ndio habari kubwa zaidi inayomuhusu kuliko nyingine ambazo zngekuwa na maslahi makubwa kwa umma kwa hadhi yake marehemu aliyokuwa nayo.
Sasa hilo ni tatizo la baadhi ya waandishi wa bongo wambeya wambeya Mkuu.Sijamlaumu kwa kufyatua watoto, nimeuliza kwa nini hiyo iwe ndio habari kubwa zaidi inayomuhusu kuliko nyingine ambazo zngekuwa na maslahi makubwa kwa umma kwa hadhi yake marehemu aliyokuwa nayo.
Your Opinion will be used for further research.Tamani pia kuwa:
Fisadi
Kigagula
Mtumwa