kuogopa kuzaa watoto wengi ni hofu tu ya kimaisha. Watoto wengi huja na riziki zao na utamudu tu kuwatimizia mahitaji yao, sio utakuwa na watoto wawili halafu inakuwa shughuli pevu kuwatunzaKuna level ukifika hao 15 unawamudu vizuri kabisa
Ni moja ya jambo linalonzalisha watoto wa mitaani kipind hiki.kuogopa kuzaa watoto wengi ni hofu tu ya kimaisha. Watoto wengi huja na riziki zao na utamudu tu kuwatimizia mahitaji yao, sio utakuwa na watoto wawili halafu inakuwa shughuli pevu kuwatunza
Hakuna anayeogopa kuzaa, bali nilazima uzae kwa mpango sio hovyo kama mnyama. Hakuna nchi yenye kizazi tegemezi kikubwa kuliko nguvu kazi iliyoendelea. Kama haujaenda shule hutaelewakuogopa kuzaa watoto wengi ni hofu tu ya kimaisha. Watoto wengi huja na riziki zao na utamudu tu kuwatimizia mahitaji yao, sio utakuwa na watoto wawili halafu inakuwa shughuli pevu kuwatunza
Mtoto sio kumudu kumhudumia tu hapo ndio akili yako imeishia? Unapozaa watoto wengi hovyo unaongeza population tegemezi ambayo ni sumu kwa maendeleo ya nchi. Uzazi wa mpango ni muhimu sanaWengi mnaona ni wengi kwasababu ya vipato vyenu, kwake yeye alimudu kuwahudumia pamoja na wana ndugu wenginee
baba ndo mlivokua mnamwita halafu tokea awe tje boss hamkuonanaHongera zake.Wanaume wa Kiafrica badala ya kujenga viwanda fedha yote inaishia kwenye child support.China walijua ku restrict mtoto mmoja tu ,wanaume akili zikaja wanavianda mpaka wanaweza kumvimbia Trump .Sisi wamekata ARVs kelele nyingi .Anyway RIP Hanga my school mate.
imani za kizamani? Mwisho mtasema watu wasizae kabisa kisa hakuna uwezo wa kutunza mtoto. Mnajaza watu hofu wasizae watoto wengiNi moja ya jambo linalonzalisha watoto wa mitaani kipind hiki.
Zama zimebadilika, zaa watoto ukiwa na uwezo wa kuwahudumia, ukishindwa ndio hiyo wanarudi mitaani na kuteseka for nothing
Suala kila mtoto anakuja na baraka zake ni hoax, false beleifs, imani za kizamani sana
Never said watu wasizae, zaa but know kuna economic strains unazipngeza upande wako, question is utaweza?imani za kizamani? Mwisho mtasema watu wasizae kabisa kisa hakuna uwezo wa kutunza mtoto. Mnajaza watu hofu wasizae watoto wengi
Haha..........hiyo habari hawaitaki kabisa kuisikia 🤗Kataa Ndoa Wanasonya Sana
hao watoto wakikua na kuwa watu wazima wenye shughuli zao, hapo watakuaje tegemezi?Hakuna anayeogopa kuzaa, bali nilazima uzae kwa mpango sio hovyo kama mnyama. Hakuna nchi yenye kizazi tegemezi kikubwa kuliko nguvu kazi iliyoendelea. Kama haujaenda shule hutaelewa
Kabisaaa, na ukute Mkurugenzi kafanywa mbuzi wa kafara ili kuficha uovu wao unaoebdelea kwa sasa.Mkuu umenikumbusha jambo. Hii nji imejaa mafununu, umbeya na propaganda za kuhamisha akili na mawazo ya Wabongo. Kumbuka ajali ya Mkurugenzi ni kama imeingiliana na Kukamatwa kwa Mwenyekiti(T) CHADEMA Mhe. Tundu Lissu na Tume ya Uchaguzi kuwaengua CHADEMA kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025.
Sasa kwa CCM na Serikali yake wameamua maksudi kugeuza habari ya kifo cha Mkurugenzi TANESCO kuwa ndo habari ili kuhamisha akili na mawazo yote ya Watz wasiongelee habari ya kukamatwa kwa LISSU na CHADEMA.
Kuna wakti nchi hii matukio mengine hupangwa na huandaliwa kimkakati kwa malengo maalumu. Tafakari!!!
Yaani wewe ndio huelewi na akili yako finyu, utegemezi unakuja kama huwezi kumudu, sasa unahisi kwa maisha ya nyamohanga kuna watoto wake walikuwa mtaani wakitegemea serikali au NGO iwasaidie basic needs? Au unahisi ukiwa na watoto lazima wawe tegemezi?Mtoto sio kumudu kumhudumia tu hapo ndio akili yako imeishia? Unapozaa watoto wengi hovyo unaongeza population tegemezi ambayo ni sumu kwa maendeleo ya nchi. Uzazi wa mpango ni muhimu sana
Sawa, lakini isiwe big deal kwa watu. Kila mtu ana maisha yake na mipango yake. Watoto wachache sio kigezo Cha kujipanga vizina watoto wengi sio kigezo cha kujipanga vibaya. Trump ndiye Rais tajiri kuwahi kutokea Marekani na nahisi ndiye Rais mwenye watoto wengi kuwahi kutokea Marekani.Hizo ni rare cases!!! Nyumba ya jirani usilalie mlango wazi.
Na unakuta anawamudu na wanasoma, watu wengine sijui walizaliwa mikoa gani wanaona mtu kuwa na wake wawili na watoto 15 ni wengi! Wengine ni mke mmoja tu ila watoto 10-12Waziri Jafo ana wake 3 mbona fresh tu? Hebu acheni hizo bana...
Kwa mkoa wa Mara hao wake 2 ni kidogo sana na idadi ya watoto pia ni ndogo sana...kawaida hao wake 2 wangepaswa kuwa na wa jumla ya watoto 22
Ahahahahaha! Ila uncle alikuwa na maisha fresh sana. Mwaka 1993 alikuwa anamiliki yale masimu ya Mkononi ya Moboteli yakiuzwa zaidi ya milioni. Wewe mwenye watoto wachache ni uoga wa maisha tu hakuna chengine! Ahahahahaha!!!Naye alikuwa anazaa hovyo