CHIEFMANGU
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 685
- 1,149
Kumbe unapomlaumu marehemu unalenga nini? Maana kuwa na watoto wengi au wachache sio indicator ya malezi bora, anaweza kuwa na watoto wengi akawalea vizuri kuliko mwenye watoto wachache!Sasa hapa zaidi ya kuishibisha hoja yangu umefanya nini ama unapinga nini?
HOJA; PESA SIO MBADALA WA MALEZI BORA
MALEZI ni nini?
Soma hapa uelewe ✍🏻Indicator Metadata Registry DetailsKidagaa kimemwozea njoo utuelekeze utegemezi na sumu kwa taifa hapa uko wapi
Kuna uchumi ukifikia hiyo ni issue ndogo sanaUchumi hauwezi kukua embu fikiria watu 17 walikuwa tegemezi kwa mtu mmoja🤣
Kuzaa hovyo niujinga na umaskini. Najua madhara ya dependency population siwezi kuzaa hovyo kwa manufaa ya nchiKuna uchumi ukifikia hiyo ni issue ndogo sana
Umezoea mipasho na malumbano ama?Kumbe unapomlaumu marehemu unalenga nini? Maana kuwa na watoto wengi au wachache sio indicator ya malezi bora, anaweza kuwa na watoto wengi akawalea vizuri kuliko mwenye watoto wachache!
So, hakuna sababu ya kumnanga na kumuona wa hovyo eti kwa sababu ana watoto wengi....
tupe takwimu ya total population ya china na tz.Wachina walio vizuri kiuchumi, duniani wao ni 2nd best economy country lakn wana ruksa ya kuwa na mtoto 1 tu.
Leo wanakuja Tanganyika wana kuhonga gari na pesa ili ulee wake 2 na watoto 15!!! Halafu uwape kazi walipwe Mabilioni na Serikali yako wapeleka kwao kulea mke 1 mtoto 1. Think big!!!
Kwetu kati ya 17 ni 2 tu (wa kike) waliishia form four, wakapelekwa nursing, wengine wote tulifika university, na tunajimudu kabisaa! Kaka yangu wa kwanza mpaka sasa ana watoto 7 na anawamudu vizuri kabisaWe umechanganua wale 3 wa daktari jirani.
Haya hebu na wewe tuambie ktk 17 mliozaliwa, wa kiume mko wangapi na wa kike wangapi? Mlisoma mpaka kiwango gani cha elimu na what's your life status?
“Pesa sio malezi” nakubaliana nayo 100%Umezoea mipasho na malumbano ama?
Lawama yangu kwa marehemu ni wapi?
HOJA; PESA SIO MALEZI
MALEZI ni nini?
Kama uwezo wa ufahamu na utambuzi haufiki kiwango cha kuweza kuzingatia hoja, tafadhali achana nayo.
Usiwe unakurupuka ku comment mkuu utaumbuka bure 🤣 nature ya pupulation ya tanzania sio sawa na yachina. China ina watu wengi lakini kwao nguvu kazi nikubwa zaidi , tanzania tupo milion 65 lakini nguvu kazi ni milion 25 pwent hii inamaana zaidi ya watu milion 40 nitegemezi. China wamefanikiwa kwasababu ya sera nzuri , kwao kizazi tegemezi ni kidogo sana kuliko Nguvu kazi. Ila kwenye nchi watoto wakishakuwa wengi kuliko makundi mengine tayari nchi nilazima itumbukie kwenye madeni na umaskinitupe takwimu ya total population ya china na tz.
Pia population yenye elimu, ujuzi na vipaji ni faida Kwa nchiKuzaa hovyo niujinga na umaskini. Najua madhara ya dependency population siwezi kuzaa hovyo kwa manufaa ya nchi
Inabidi kuzaa Sanaa 😊 Mimi natamani niwe na at least 10.Bado hujasema 🤒 maji utaita mma
Tumezaliwa wawili,nimezaa wawili....nilitaka kuongeza ila maisha yanafunza...dunia ya sasa si ya kuleta watoto kabisa
😂😂😂😂😂😂😂Usiwe unakurupuka ku comment mkuu utaumbuka bure 🤣 nature ya pupulation ya tanzania sio sawa na yachina. China ina watu wengi lakini kwao nguvu kazi nikubwa zaidi , tanzania tupo milion 65 lakini nguvu kazi ni milion 25 pwent hii inamaana zaidi ya watu milion 40 nitegemezi. China wamefanikiwa kwasababu ya sera nzuri , kwao kizazi tegemezi ni kidogo sana kuliko Nguvu kazi. Ila kwenye nchi watoto wakishakuwa wengi kuliko makundi mengine tayari nchi nilazima itumbukie kwenye madeni na umaskini
Na watoto wa kiume ndio wabeba jina la ukoo.Lp
Akimaliza kuzaa na kunyonyesha mtandike mimba ingine hadi kieleweke mradi ana uzazi na afya nzuri
Ni kweli kuna koo ziko hatarini kupotea sababu ya uzazi wala sio siri ziko nyingi tu
KazaInabidi kuzaa Sanaa 😊 Mimi natamani niwe na at least 10.
Na huwa mnalea hata damu za wanaume wengine hamna ubaguzi!!Kwa wakazi wa mkoa wa MARA hyo ni kawaida yetu.
Eti changamoto ya ada.....hki ndo kinawaogopesha kuwa na watoto! Mwenzio ni mkurugenzi wa tanesco alafu unasema mambo ya changamoto...by the way elimu ni bureWatoto 15 duh....
Changamoto ya Ada alikuwa haioni
Ila hofu ukizaa na wanawake let say wanne tofauti ndio mwanzo wa MIGOGORO.Kaza
Kuna sehemu kutokana na historia wao kuzaa sio ShidaWatoto 15 duh....
Changamoto ya Ada alikuwa haioni