Mkurugenzi Rombo: Shule iliyoandikisha Wanafunzi Watatu hakuna imani za kishirikina ni maamuzi ya wazazi tu

we huna data za rombo.
ingekuwa ni walevi mabasi toka dar pekee kwa siku kwenda rombo ni kama ifuatavyo-:
Tilisho 2
Easter 2
Dar expres 2
Tilisho ndio anajaza na sababu kubwa ni:

- Rombo hakukaliki kila mchagga anakimbilia Dar kuchoma Kitimoto, kuuza bar, grocery etc na shughuli nyingine.

Na kwasababu Dar -Rombo nauki, Tsh 32,000 wanarudi mara.

Hiyo Dar express nimepanda sana mara nyingi unakuta hata abiria hamfiki 20 gari zima.

Hayo mabus yanajaa sana Desemba.

Tena wanaorudi Kilimanjaro ni wale walioko Dar, Arusha, Manyara na maeneo ya karibu.
na wote ni wa rombo wanajaza.
je ni mabasi mangapi yanaenda wilayani kweni kwa siku?
Unataka mabus yajae kwenda kwetu kwanini ni Nani alikwambia kwetu maaisha magumu mpaka nishi dwr kukaa kwetu.

Yaani mtu akimbie Mwanza ili mwisho wa mwaka apande gari kurudi???

KILIMANJARO mnakimbilia mjini kwasababu Hali ngumu sana na teteee
kumbuka hayo ni mabasi yanayotoka dar pekee, bado dodoma,singida mwanza,arusha nk.
ni wilaya pekee yenye uchumi usioyumba.
Rombo Kuna mabasi ya Dar na Dodoma (Shabiby) peke yake.

Na Dar ni kampuni tatu, Esther, Tilisho, na Dar express.
kuhusu ulevi syo rombo pekee kwenye walevi ila imekua inashangaza kwa kuwa haikuwahi kutokea kuwa hivyo
Ulevi rombo ni next level🙉🙉
Rombo Kuna pombe ambazo hajawahi kuziona Wala hutaziona sehemu nyingine.

Biashara kubwa ni pombe na kila mtu anauza pombe mpaka wengine chini ya uvungu wa kitanda.
Hizi ni stori za JABA
 
Mkuu maneno kibao vitendo zero...
Tazama wahaya wanavyowekeza kwao siku hiz...
Bukoba soon itaizidi mbali sana Moshi yenu

View: https://youtu.be/rBYKFm9U19w?si=jBhDs1AGfOzzLzTs
 
instanbul upo?
nikuombe useme rombo ulofika ni ipi na uliingia vijijini au ulipita njia
uongo wako ni kuwa ulikutana na vijana wananuka pombe.
huo ni uongo tena wa kijinga.
huko rombo huwezi kuwakuta vijana barabarani kwani wanakuwa vijijini kati huko.
Naomba uweke idadi ya mabasi yanayoingia na kutoka wilayani karagwe kwa siku.
rombo kwa uharaka tu
dsm_rombo _dsm gari 16
toka dodoma,mwanza,singida 6.
wacha arusha na moshi tanga.
acha sifa za kijinga punguani mkubwa wewe
 
Huu ni UWONGOOOO.

Rombo binafsi naijua kuliko hata wewe mwenyeji.

Mabasi Rombo ni kampuni tatu.

  • Esther
  • Tilisho
  • Dar Express
  • Shabiby (Dodoma)
 
Characteristic GDP in billion Tanzanian shillings
Dar es Salaam 25,273.7
Mwanza 10,957.9
Mbeya 8,352.1
Shinyanga 7,589.6
Morogoro 7,163.1
Arusha 6,943.6
Tanga 6,965.6
Kilimanjaro 6,621.7
Geita 6,669
Ruvuma 5,623.5
Tabora 5,475.5
Mara 5,401.5
Manyara 4,972.3
Iringa 4,630.7
Dodoma 4,657.7
Kigoma 4,143.6
Mtwara 4,030.2
Kagera 3,784.5
Rukwa 3,182.4
Lindi 2,960
Coast 2,984.8
Singida 2,767.3
Songwe 2,707.9


hebu ukuje huku ulinganishe mkoa wako na mingine ikiwemo kilimanjaro.
we uko wapi?
acha ushabiki
 
Kumbe hujui kitu wewe mpanda fisi
1:Sisi hatufugi kijinga kama nyie,tunafuga kisasa ndio maana Kilimanjaro viwanda Vya maziwa ni vingi KULIKO usukumani hushangai?
2:Nyama Kilimanjaro IPO nyingi KULIKO usukumani na bei chee KULIKO usukumani unakosema mnafuga Sisi tunafuga kisasa
3: kilimo Sisi tunafanya kilimo -biashara nenda mbeya,njombe,iringa uulize wanaonunua mahindi yao ni kina Nani? Ni Sisi watu WA Kilimanjaro ndio tunayanunua kwa wingi then tunayauza je nan anapata FAIDA hapo ?
4:Rombo Kila kitu kipo MTU akiwa rombo Hana haja ya kwenda mjini kama nyie hko kwenu nyangwale,pia hakuna nyumba za nyasi kama kwenu Sasa unataka maisha gani Zaidi?
5:Mzunguko WA Hela ni mkubwa rombo ndio maana Kuna mabasi ya mikoa mingi Yana route za mojakwa Moja Hadi rombo mfano
Shabiby,Ngaseni exp Dom -Rombo
Dar -Rombo(tilisho,Ester,dar exp,sai baba,
Mwanza -Rombo(Mghamba)
Singida -Rombo(Mtei exp)
Moro -Rombo(BM coach)
NK
Je kwenu nyangwale kunaendeka?
Pia rombo ina matawi ya bank yafuatayo
Nmb mkuu,nmb tarakea,nmb holili,crdb mkuu,crdb tarakea HII ni ndani ya wilaya moj
Mikoa mingi ya Kanda ya ziwa inakabiliwa na utapiamlo na udumavu WA watoto huo ni umaskini WA kutisha kiasi chá watoto kudumaa
 
Asante kwa kumjibu anadhani Sisi tunazaliana kama panya bila mpango kama wao matokeo yake darasa Moja linakuwa na watoto 300
 
Kumbe hujui kitu wewe mpanda fisi
1:Sisi hatufugi kijinga kama nyie,tunafuga kisasa ndio maana Kilimanjaro viwanda Vya maziwa ni vingi KULIKO usukumani hushangai?
Viwanda vingi Kilimanjaro labda vya POMBE.
2:Nyama Kilimanjaro IPO nyingi KULIKO usukumani na bei chee KULIKO usukumani unakosema mnafuga Sisi tunafuga kisasa
Labda nyama ya KITIMOTO.

Hamfugi kisasa ila hamna sehemu za kufugia, mnafungia kwenye mabanda.
3: kilimo Sisi tunafanya kilimo -biashara nenda mbeya,njombe,iringa uulize wanaonunua mahindi yao ni kina Nani? Ni Sisi watu WA Kilimanjaro ndio tunayanunua kwa wingi then tunayauza je nan anapata FAIDA hapo ?
Hizi ni stori za jaba.
4:Rombo Kila kitu kipo MTU akiwa rombo Hana haja ya kwenda mjini kama nyie hko kwenu nyangwale,pia hakuna nyumba za nyasi kama kwenu Sasa unataka maisha gani Zaidi?
KILIMANJARO Kuna MJINI???
Kukiwa na mabasi ndio kunakuwa na mzunguko wa hela???

Umelewa??

Sasa Kama Kuna mzunguko wa hela Kinachofanyika mnakimbia kwenu ni nini?

Mtu kupanda gari kurudi kusalimia nyumbani ndio mzunguko wa hela?

Hizi fikra mzoga za wapi?
 

Attachments

  • IMG_20240110_193307.jpg
    73.3 KB · Views: 3
Umesahau kuwa hayo mabasi yanayoenda Kagera na karagwe mengi ni ya Wachaga tena WA rombo?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Yani Sisi ni bora Tangu kale sio tu 2024
Lisheni watoto mlo bora waondokane na udumavu[emoji1][emoji1][emoji1],Yani watu mlioshindwa hâta kulea watoto ndio m compete na Sisi? [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kilichofanya ukahama ni nini?

Rudi Rombo Sasa Kama kuzuri.
 
Wanaume wavivu wapo kwenu kagera ndio maana mnaongoza kwa umaskini, wanaume WA kwenu wangekuwa wanapambana mngeongoza kwa umaskini?
 
Kilichofanya ukahama ni nini?

Rudi Rombo Sasa Kama kuzuri.
Rombo ni kuzuri kwa watumishi,ukiwa mtumishi rombo ukienda Kijijin tu unapewa nyumba ya bure uitunze tu,nyumba ina Kila kitu je kwenu usukumani vipo ?
Hko kwenu mtumishi hâta nyumba ya kupanga ni mtihani kuipata,unaenda Kijijin unakuta vi slop Vya kisukuma tupu
 
Kikwete aliwahi kukaririwa akisema ukienda Mahali ndani ya Tanzania ukamkosa Mchagga, hiyo sehemu sio Valid kuishi.
Kabisa huo ndio ukweli,dar miaka Hyo ya zamani Wachaga walinunua maeneo ya pembezoni Sasa HIVI ndio mji umehamia,walishapiga plan ya miaka 50 mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…