Mkurugenzi Rombo: Shule iliyoandikisha Wanafunzi Watatu hakuna imani za kishirikina ni maamuzi ya wazazi tu

Wanasoma shule gani?
Wewe elewa wanasoma shule ya private Kilimanjaro,si unajua Kilimanjaro mashule ya private Kila Mahali Hadi vijijin?
Kilimanjaro ni mkoa unaoongoza kwa sekondar nyingi Tanzania
Moshi DC inaongoza kwa shule za msingi
 
Okay

Ila Nadhani content ya uzi ipo hapa pa kuandikisha watoto watatu tu Kwamba ni wachache sana unadhani shida itakua nini?? Huku wengine wakielezea sababu!
Hakuna Shida yoyote madam Kijijin hapo hakuna watoto WA umri WA kuandkisha shule wanazurura
Watoto wamepelekwa private schools,wengine wanasoma mikoani hiyo ndio sababu hakuna tatizo
Kubwa KULIKO ni Wachaga kuzaa kwa mpango average ya mchaga kuzaa ni watoto 3 wakizidi 4 hiyo ndio Raha ya kuelimika mapema,sio MTU unakuta Ana watoto 12 Huku hawezi kuwahudumia
 
Mhaya hawezi kumfikia mchaga kwa elimu hiyo ni Moja
Pili,Sisi tupo Nÿumbani na ugenini kotekote tumesoma na pia tunaongeza fursa maana haturiziki na kitu kimoja
Tatu,Hao wahaya unaowasema unajua kuwa mkoa wao ni WA kwanza kwa umaskini ?
Nne, Kilimanjaro 95% ni nyumba bora za kisasa 5% ndio Hizo ulizosema Hapo
Tano, Kilimanjaro ni mkoa WA Kwanza kwa makazi bora vijijin,na miundombinu toshelezi(umeme, maji,shule, hospital) kiwango chá umaskini Kilimanjaro ni 10% tu just imagine,ilhali kiwango chá umaskini kwenu geita ni 42%
 
Kagera ni miongoni mwa Mikoa 5 maskini zaidi Tanzania.
 
Maneno mengi vitendo zero...

Hii ndo Bukoba..haya linganisha na mji wenu chakavu Moshi

View: https://youtu.be/rBYKFm9U19w?si=CtV97k4jHwEYZxHs
 
Anasema alikuwa mtumishi Tena Afya, kilichomkimbiza ni nini pamoja na kupewa nyumba ya bure Kama kweli zipo alipewa huyo tuturu?

Hizi stori za jaba au unaongelea bar??
 
walombo muache kujichetua utashi, kwa waliofanikiwa kufika maeneo haya ya rombo inasemekana vijana kwa wazee wanapiga sana pombe za kienyeji
 
Mm nipo rombo tarakea hapa ni kweli school bus za kenya znakuja na kuwarudisha wanafunzi

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Kirwa Amrushu, Kiungwe zina wanafunzi
Amrushu walifunga eighties, Kirwa wanamalizia, nyingine Zina upungufu mkubwa WA wanafunzi , nyingine nyingi zinaweza kufungwa, mbunge aangalie nini tatizo!!?? Shughuli nyingi za kiuchumi zimezorota!! Mzee Mkenda mbunge upo!?
 
Amrushu walifunga eighties, Kirwa wanamalizia, nyingine Zina upungufu mkubwa WA wanafunzi , nyingine nyingi zinaweza kufungwa, mbunge aangalie nini tatizo!!?? Shughuli nyingi za kiuchumi zimezorota!! Mzee Mkenda mbunge upo!?
Unaonekana una muda mrefu sana haupo Rombo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…