Mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje?

Huwezi kufungua mlango wa Ndege kwa kupiga na eti Kasia, never, hata wa gari tu huwezi kupiga na kasia ukafunguka,. Mlango ulifunguliwa na wafanyakazi wa Ndege, sema majaliwa alikuwa Kati ya watu wa Kwanza kufika pale, na kusaidia watu wengine kutoka ndani ya Ndege. Na wakina majaliwa walipofika pale, walikuta tayari kuna watu walikuwa nje, Shuhuda anaeleza.
 
Punguzeni ujuaji. Dogo anasema baada ya kuupiga ule mlango kwa kasia ukafunguka, akaokoa baadhi ya watu then akazama majini akaenda kwa rubani. Rubani akampa maelekezo ya ulipo mlango wa dharura ambao ndio waloufunga kamba inayovutika.
Tumia akili wewe kiazi.
 
Ndege ilivyojikita ktk maji mlango ukavunjika lock majaliwa kaenda kuupush tu na kasia lake kama kusukuma mlevi, wachezaji ni wengi ila yupo nyota wa mchezo jamani
 
AKA YA Majaliwa anakuambia mtaani anajulikana kama "Maja Mnyama." Dogo sound nyingi alafu hizo pesa anazopewa ingekuwa vizur angewapa na marafiki zake waliokuwa wote kwenye pirika za uokozi.
Pilika za uokozi au WIZI dogo alifikiria basi lile Kama kawaida kusachi mungu mwema kinyume chake kimekuja auheni kwake
 
Nafikiri majaliwa alifyatua tu na kasia lake labda kwa ndani ulilock uwezi jua ila ye kuwepo pale ni credit tosha anastahili pongezi
 

Attachments

  • Screenshot_2022-11-11-23-51-55-18.jpg
    98.9 KB · Views: 6
...SI Kuna wali Wahudumu wa Ndege Wasichana Wawili ambao Mwanzo tuliambiwa ndio Walisaidia kwenye kuongoza Abiria kutoka kwende...lakini Sasa Wameshauriwa Kabisa kama vile hawakuwepo! Mambo yote ni Bwana Mdogo Majaliwa TU.
Au Walinywa wake kimwa?
Walistahili nao Kuitwa Bungeni....!!
 
Nimejiuliza sana bila majibu. Nadhani wahudumu wa ndege walifanya jitihada za kufungua mlango ndipo shujaa Majaliwa akasaidia kuunasua ama kuuvuta kwa nje maana kwa jinsi ile ndege ilivyokuwa mlango usingefunguka vizuri wao wakiwa ndani.
...Halafu akazimia na yeye kupelekwa Hospitali kama mmoja wa Abiria Majeruhi...!
 
Wanajitoa akili,mbona kasema kila mtu unaelewa kabisa.
Nenda kamsikilize Komba yule jamaa alisema wao walitoka nje na hakukuwa na mtu wala msaada wowote kwa muda ndipo mtumbwi wa kwanza ukafika lkn wao wakiwa wameshatoka kwenye Ndege.
 
Kwanini mnawauliza wenzenu maswali magumu namna hii??
 
Naomba kuuliza kwa wenye uelewa. Hivi mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje? Wajuzi wa mambo ya ndege tafadhali.
ATR 42 inafunguka ila Hadi iwe ndani ya maji
 
Emergency door
 
Unaweza ukafunguka Kwa nje kama ukijaribu kuufungua Kwa ndani.Sijuwi nimevuta.
[emoji23] kwenye tukio la Majariwa Shujaa, haki ya nani tulipigwa. Huyu kijana yuko hapo kimasilahi na amewekwa na watu wakubwa wa kiserikali
 
Unajua sipindi point za kukoseana heshima, Ingekua tunaonana labda ningekuogopa kwa mwili wako, ila ku tayp, Sishindwi.

Sema tu nyie watoto mnao zaliwa nje ya ndoa, alafu mkakosa malezi mazuri, hamjui kuchagua neno, la kumuandikia mtu, wakati hii foram, inaweza kukutanisha na member, mkasidiana mkafanya biashara, na mambo mengine mengi tu.

Ila ukijifunia hatujuani sababu tunatumia ID feki, ujue wengine tunakutana na tunafanya yetu.
 
Boya ww, unahisi unamjibu mtu mstaarabu? Mm Gaidi boya wewe, ntakunyonya mavi mchana kweupe.
Unaonekana tu ulivyo pimbi, kwenu umeshamnyonya mamako maana ndio unavyoviweza.

Anza kumnyonya mamako, bibi yako na familia yako shoga wa chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…