Mliambiwa lakini hamkusikia, sasa ni muda wa mavuno ya awali ya kile tulichopanda

Siku ukimegewa utachukua hatua gani? Ukizingatia mke hana makelele na bado unampenda ila ndo hivyo nafsi imemshinda kaachia mzigo kwa kijana kama wewe

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kwa mujibu wa Biblia na hekaya za Wayahudi; Siku Mungu alivyosalitiwa na Adamu na Hawa maamuzi aliyochukua ndio hayohayo nitakayochukua.

Lazima ujifunze kuacha na kuachwa Kabla hujaingia kwenye UPENDO na mapenzi.
Ni hayo tuu.
 
Mbona Adam hakuacha? Na alisalitiwa mpaka ikamcost? Hiyo inatufundisha nn?
 
Im speechless, usaliti umeanzia mbali namna hii
 
Nilifanikiwa kupotea kipindi flan,nikaishi na single mother akapretend maisha wee huku namsoma tu,dizain kulazimisha sana nikajitambulishe kwao na mimi nikatulia,nikamuongeza kijan mwingine ili awe double single mother,sasa ndio naona rangi zake halisi,nimepiga chini sasa ni kumlea tu kijana.
Single mother hata uwafanyie nini hawana jema.
 

Hujamfanyia vizuri Mkuu.
Hao wengi wao ndio wapo hivyo, Kwa kulijua Hilo usingemuongezea mzigo. Sio Poah ujue
 
Adamu alisalitiwa na Nani?
Aliyesalitiwa pale ni MUNGU.
Usaliti unakuja pale umemuambia MTU asifanye hivi alafu yeye akafanya.

Au mmekubaliana hivi yeye akageuka makubaliano.
Sasa Adamu na Eva yapo ni makubaliano Yao?
Kuchati na shetani huku mmewe hajui sio usaliti? Kuchukua maamuzi kula tunda ambalo ashamzuia kula sio usaliti? Eva hakuwahi kuongea na Mungu chochote sasa atamsalitije? Alimsaliti mmewe maana ndie aliempa maelekezo akayakiuka
 
Mkuu tunapitia magumu sana kwenye maboma yetu haya
Changamoto azikosekani ndugu, ni namna tu ya kuzikabili, hakuna mkamilifu ukilijua hilo utaishi na kila mtu mzee,shida inaanz tunapoanza kujihesabia haki kujiona sisi watendwa ndiyo tumekosewa ila kuna kitu kilianza,mengine huwa tunayasababisha wenyewe pasipo juwa ,mengine yanatokea kwa kuwa nae mwenza wako ni chanzo jambo la msingi ni kubalance mzani, hakuna binandamu asiefundishika kama mbwa tu anafundishika why not wanadamu ,kaa na mwenza wako yamalize huko ,ya huku mtandanoni probability yakupata msaada wa kweli wa kusaidika ni 15% mengine ni kejeli utani nk
 
Kuchati na shetani huku mmewe hajui sio usaliti? Kuchukua maamuzi kula tunda ambalo ashamzuia kula sio usaliti? Eva hakuwahi kuongea na Mungu chochote sasa atamsalitije? Alimsaliti mmewe maana ndie aliempa maelekezo akayakiuka

Adamu hakujua kuwa Eva amekula,
Ile amri Ilimhusu Mungu na mwanadamu, na sio vinginevyo.
Eva hakuwa Chini ya adamu, hapakuwa na sheria ya hivyo.
Sheria ya usifanye ilikuwa moja tuu, nayo ni Usile tunda la mti wa Kati.

Haikuwa kosa Kwa Hawa kuongea au kuchat na Shetani kwani hakukuwa na sheria ya namna hiyo.

Hapa tunazumzia sheria Mkuu.
 
Hakikisha huko huko masomoni unapata mke mwingine pamoja na wife spare mbili tatu mkuu..hutokuja kujutia.. na huyo mke mwingine usimweke akilini
 
Uko sahihi kwenye mengi uliyoyaandika..lakini kwenye utofauti wa kabila kwakweli sikubaliani nawe...mimi mwenyewe hapa ni graduate wa Masters lakini kigezo cha mke ninayemtaka ni mwenye elimu isiyozidi form 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…