Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?

Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?

Kwani kuna shida gani, ulinzi wa Rais ni zaidi ya hizo dini zenu..
 
Yeye msikitini kaenda kama muumini ama kaenda kama kiongozi wa dini?

Haya maigizo na kucheza na Imani za watu Mungu habadiriki. Kama ana Imani na Mungu wake haipo haja ya kufanya kituko hiki
Yeye kaenda kusali - ni jukumu la wengine kuendelea kutimiza wajibu wao...mnataka mpige makofi kama marehemu Mzee Mwinyi??
 
Hivi kwa nini hakuna mtu anayezungumzia hali ya unyenyekevu wa rais na mfano wake bora kwa kuketi na watu wa kawaida katika nyumba ya kuabudia?

As much as I'm very concerned about her governance, I think what she is doing - setting an example for others in putting God first - is highly commendable.
And social gathering
 
HII KIDINI IPOJE ????
20240617_185916.jpg
 
Kwahiyo mungu hawezi mrinda mja wake? Basi alienda kufanya Nini kama huyo Mungu Hana uwezo wa kurinda watu wake Hadi wapigwe makofi?
Yeye kaenda kusali - ni jukumu la wengine kuendelea kutimiza wajibu wao...mnataka mpige makofi kama marehemu Mzee Mwinyi??
 
Kuna faida kadhaa za kufuata mafundisho ya Mtume Muhammad (s.a.w.) kuhusu sehemu tofauti za kusali kwa wanaume na wanawake katika msikiti:

1. Utaratibu na adabu katika ibada: Kujitenga kwa wanaume na wanawake inawezesha ibada kutekelezwa kwa utaratibu na utulivu, bila kuwepo kwa malalamiko au migongano.

2. Heshima na adili: Kujitenga kwa wanaume na wanawake inaonyesha heshima na adili katika ibada. Hii inasaidia kujenga mazingira bora ya ibada.

3. Mazingira salama na rafiki: Kujitenga kwa wanaume na wanawake inawezesha waumini kusali katika mazingira salama na rafiki, bila ya kuwepo hofu au wasiwasi.

4. Kuepuka fitna na maangaiko: Kujitenga kwa wanaume na wanawake inaepusha fitna na maangaiko yanayoweza kujitokeza kama watasali pamoja.

5. Kuendeleza mafundisho ya Mtume (s.a.w.): Kufuata mafundisho ya Mtume (s.a.w.) kuhusu sehemu tofauti za kusali inaonyesha uaminifu na kuitikia mwito wa Mtume (s.a.w.).

Kwa jumla, kufuata mafundisho haya kunasaidia kuwezesha ibada kutekelezwa kwa adabu, heshima na utaratibu, ambayo ni mambo muhimu sana katika dini ya Uislamu.
 
Imenishangaza sana, nadhani sababu ya kuwatenga wanawake na wanaume ni faragha.

Sasa kama vidume wanakaa sehemu za wanawake kuna maana gani?
View attachment 3019543
Inashangaza!
Usiingilie mambo ya usalama wa taifa raisi ni kiongozi wakipekee anahitaji kulindwa dini weka pembeni hata MUNGU atasamehe hilo
Hata kule Uarabuni wanafanya hivyo wakati mwingine
Hapo yupo kikazi zaidi
 
Usiingilie mambo ya usalama wa taifa raisi ni kiongozi wakipekee anahitaji kulindwadini weka pembeni hata MUNGU atasamehe hilo
Hata kule Uarabuni wanafanya hivyo wakati mwingine
Hapo yupo kikazi zaidi
Sawa sawa..hapo walisahau miwani kdg ya macho kuzuga vzr
 
Kwahiyo mungu hawezi mrinda mja wake? Basi alienda kufanya Nini kama huyo Mungu Hana uwezo wa kurinda watu wake Hadi wapigwe makofi?
Mungu anasema hata kama unasali ukaona nyoka anakufuata ama mtu anakuja kukudhuru, katisha sala ujihami kwanza. Hakusema atakulinda uendelee. Kwahiyo, tahadhari ni muhimu ktk maisha yako ya kila siku, usisubiri miujiza.
 
Magaidi yakiingia wao ni kuchoropoa silaha tuu, hvy naona Sawa jamaa kuwa hapo ila ht wangemtafutia ile inayoziba uso wote na kuacha macho tuu.
 
Back
Top Bottom