Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
Yuko hapo kavaa nguo kama Sanda huwezi mtambua, AU unazungumzia wale wengine walio nenepa Sana 😂Angevaa miwani kupoteza zaidi ..ila yule mlinzi wa kike wa siku zote wana dada kaondolewa ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko hapo kavaa nguo kama Sanda huwezi mtambua, AU unazungumzia wale wengine walio nenepa Sana 😂Angevaa miwani kupoteza zaidi ..ila yule mlinzi wa kike wa siku zote wana dada kaondolewa ?
Habari ya Mpina na BasheHii ndio habari ya mjini sasa angalau inatusaidia kusahau ugumu wa maisha
😂😂😂😂😂Nimecheka kwa sauti kubwaImenishangaza sana, nadhani sababu ya kuwatenga wanawake na wanaume ni faragha.
Sasa kama vidume wanakaa sehemu za wanawake kuna maana gani?
View attachment 3019543
Inashangaza!
Kidini haikubaliki kwa sababu kubwa mbiliHII KIDINI IPOJE ????
Tanzania kuna raha sana.......
Who cares? Hiyo misikiti na hao ma sheick si ndo kila siku wana support ccm? Hawako kwenye mfumo thabiti wa dini.
Siyo mbaya, angalau esaidia kuipumzisha Tigo ya Tumsime na Yahaya wakeWaislamu tunadhalilishwa jamani
Kwani hilo jambo limetokea ikulu au msikitini. Na kwa nini mlete siasa kwenye nyumba za ibada?!Kanuni za dini haziingiliani na serikali
Zinavunjwa tu
Hayo masuala ya taratibu za imani zenu pelekeni huko misikitini au makanisani kwenu
kudadeki
Hivi kumbe kuna wapiga picha ndani ya misikiti 😂😂😂Imenishangaza sana, nadhani sababu ya kuwatenga wanawake na wanaume ni faragha.
Sasa kama vidume wanakaa sehemu za wanawake kuna maana gani?
View attachment 3019543
Inashangaza!
Wote hapo wana silaha na bullet proof vest.Huyo ana uzi machone gun....silaha no 1 likitokea lolote....Rais ni taasisi sio mtu....m
Sheikh THE BIG SHOW, inamankusweke, na Accumen Mo, kuna ukweli juu ya haya maelezo?Ushoga hautaisha bongo. Yani wanapromote ushoga msikitini?. Very bad.