Mliokuwa mnauliza kazi ya Rostam Aziz kwenye ziara ya Rais Samia ya Marekani, hili ndio jibu lenu!

Taifa Gas ipo Dubai? Tigo ipo Dubai? Zantel ipo Dubai? Caspian ipo Dubai?

Samahani au nikuulize tu! Umeishia darasa la ngapi?
Viwanda vyeti vya ngozi alivifanya nini? Where does he invest the surplus he realizes kama sio Dubai na hapa anawaibia tu!! Wake up people!
 
Kamulize marehemu Reginal Mengi aliisha wahi kumtaja kuwa ni fisadi Papa na kutoa ushaidi,wala Rostam hakukana wala kwenda mahakamani kujisafisa.Hivo mpaka leo lostam anajulikana kama fisadi Papa
Aliwai kukupa uthibitisho? Kwani mengi ndo uthibitisho?
 
Hakuna cha chawa wala nini! Akifanya vizuri lazima apongezwe
Kati yake na huyo Rostam wewe ni 'chawa' wa nani.

Kwa nini Rostam asipewe aongoze nchi kama anao uwezo mkubwa kumzidi huyo anayekuvimbisha tumbo na kukuleta hapa JF kila siku kujaza takataka zako.
 
Hivi unajua huyu jamaa Motsepe ni shemeji yake Ramaphosa..........Shemeji utaninyima Tender?
huna akili, motsepe ameanza ujasiriamali enzi za ramaphosa?
 
Viwanda vyeti vya ngozi alivifanya nini? Where does he invest the surplus he realizes kama sio Dubai na hapa anawaibia tu!! Wake up people!
Tupe ushahidi tu! Acha maneno
 
Kati yake na huyo Rostam wewe ni 'chawa' wa nani.

Kwa nini Rostam asipewe aongze nchi kama anao uwezo mkubwa kumzidi huyo anayekuvimbisha tumbo na kukuleta hapa JF kila siku kujaza takataka zako.
Akili Kubwa Samia Suluhu Hassan ndo imeona umuhimu kwa kumtumia Rostam kwenye kufanikisha uwekezaji kwa Tanzania

Samia anatosha
 
sasa kelele nyingi ila ipofika uchokiandikia lichwa cha habari unashindwa kuweka uhalisia😂😂😂
Jifunze kuandika kwanza! Au bado unachanganya kirundi na kiswahili?
 
Hizo benki zinaelekeza kwenye kilimo badala ya kuweka focus kwenye viwanda pia. Tukikazana kwenye kilimo tutaendelea kuwanufaisha wazungu kwa kuwatayarishia malighafi kwa viwanda vyao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…