Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #61
Umeishia darasa la ngapi? Samahani lakiniWewe mjinga wapi uliwahi kusikia mtanzania mwenye asili ya India? Au Iran au china? Huko shule ulienda kusoma ujinga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeishia darasa la ngapi? Samahani lakiniWewe mjinga wapi uliwahi kusikia mtanzania mwenye asili ya India? Au Iran au china? Huko shule ulienda kusoma ujinga?
Acha maneno! Tupe ushahidiUna akili za kitoto sana!
Uwekezaji ambao mwendazake hisa ni 50 na RA 50.Ila still hakuzuia uwekezaji wake kwenye kiwanda cha Ngozi Morogoro ambacho alikifungua mwenyewe na Taifa gas
Viwanda vyeti vya ngozi alivifanya nini? Where does he invest the surplus he realizes kama sio Dubai na hapa anawaibia tu!! Wake up people!Taifa Gas ipo Dubai? Tigo ipo Dubai? Zantel ipo Dubai? Caspian ipo Dubai?
Samahani au nikuulize tu! Umeishia darasa la ngapi?
Tupe uthibitishoUwekezaji ambao mwendazake hisa ni 50 na RA 50.
Kamulize marehemu Reginal Mengi aliisha wahi kumtaja kuwa ni fisadi Papa na kutoa ushaidi,wala Rostam hakukana wala kwenda mahakamani kujisafisa.Hivo mpaka leo lostam anajulikana kama fisadi PapaTupe ushahidi wa upigaji wa Rostam! Aliwai fungwa na mahakama ipi?
Kujipendekeza kwa nani?
Hongera kwa kuthibitisha kuwa huna akili na hadhi za kuwa jukwaani hapa!Bong'oa nikupe uthibitisho.
Aliwai kukupa uthibitisho? Kwani mengi ndo uthibitisho?Kamulize marehemu Reginal Mengi aliisha wahi kumtaja kuwa ni fisadi Papa na kutoa ushaidi,wala Rostam hakukana wala kwenda mahakamani kujisafisa.Hivo mpaka leo lostam anajulikana kama fisadi Papa
Kati yake na huyo Rostam wewe ni 'chawa' wa nani.Hakuna cha chawa wala nini! Akifanya vizuri lazima apongezwe
huna akili, motsepe ameanza ujasiriamali enzi za ramaphosa?Hivi unajua huyu jamaa Motsepe ni shemeji yake Ramaphosa..........Shemeji utaninyima Tender?
Tupe ushahidi tu! Acha manenoViwanda vyeti vya ngozi alivifanya nini? Where does he invest the surplus he realizes kama sio Dubai na hapa anawaibia tu!! Wake up people!
sasa kelele nyingi ila ipofika uchokiandikia lichwa cha habari unashindwa kuweka uhalisia😂😂😂Hakuna cha chawa wala nini! Akifanya vizuri lazima apongezwe
Akili Kubwa Samia Suluhu Hassan ndo imeona umuhimu kwa kumtumia Rostam kwenye kufanikisha uwekezaji kwa TanzaniaKati yake na huyo Rostam wewe ni 'chawa' wa nani.
Kwa nini Rostam asipewe aongze nchi kama anao uwezo mkubwa kumzidi huyo anayekuvimbisha tumbo na kukuleta hapa JF kila siku kujaza takataka zako.
Jifunze kuandika kwanza! Au bado unachanganya kirundi na kiswahili?sasa kelele nyingi ila ipofika uchokiandikia lichwa cha habari unashindwa kuweka uhalisia😂😂😂
Akili kubwa ni Rostam, huyo wa kwako angekuwa na akili hata kiduchu asingejisalimisha kwake.Akili Kubwa Samia Suluhu Hassan ndo imeona umuhimu kwa kumtumia Rostam kwenye kufanikisha uwekezaji kwa Tanzania
Samia anatosha
Home of great thinkers sio mahala pako!Umenigwaya?
Tutabanana humu humu mpaka mnyooke na hayo majizi yenu.
Amejisalimishaje?Akili kubwa ni Rostam, huyo wa kwako angekuwa na akili hata kiduchu asingejisalimisha kwake.
Hizo benki zinaelekeza kwenye kilimo badala ya kuweka focus kwenye viwanda pia. Tukikazana kwenye kilimo tutaendelea kuwanufaisha wazungu kwa kuwatayarishia malighafi kwa viwanda vyao.Intelejensia ya Dunia katika karne ya 21 imebadilika sana! Nchi nyingi duniani sasa zinafanya kazi kutengeneza nguvu na ushawishi kwenye uchumi!
Kupata nguvu na ushawishi kwenye Uchumi kunahusisha kutengeneza matajiri wakubwa wenye pesa wanaoweza kuwekeza, kushawishi uwekezaji, kuongeza ajira na mapato ya nchi kupitia ushawishi kwenye uwekezaji
Ukienda Misri kuna Nasser Sawaris anaemiliki viwanda vingi vya cement na shareholder wa kampuni kubwa zaidi ya vifaa vya michezo ulaya Adidas
Ukienda Afrika kusini Kuna Patrice Motsepe
anaemiliki shares nyingi kwenye makampuni mbalimbali ya madini
Ukienda Nigeria kuna Aliko Dangote mwekezaji mkubwa kwenye uzalishaji wa cement , Sukari na mafuta na sasa anatengeneza refinery ya kwanza ya mafuta katika Bara la Africa
Tanzania tunae Rostam Aziz mmiliki wa kampuni ya Caspian, Taifa Gas, Tigo na Zantel! Huyu kuaminika kwake kunafanya kuwa mtu ambae Tanzania tunamtegemea sana kwenye kishawishi uwekezaji mkubwa unaotengeneza fursa za ajira na kukuza mapato na Uchumi wa nchi yetu
Urusi wanao wengi akiwemo Roman Abramovich aliyekuwa mmiliki wa club ya Chelsea
Marekani ndo usiseme wanao wengi na wanazidi kuzalisha wengi kila siku kama Jeff bezoz, Bill Gates, Warren Buffet, Elon Musk na wengineo wengi
Mfano wa kazi nzuri za Rostam Aziz kwa Tanzania ni huu! Katika ziara aliyoambatana na Rais Samia Marekani, ameweza kushawishi uwekezaji mkubwa katika kilimo hapa Tanzania kupitia Benki ya maendeleo Afrika.
Hongera Rais Samia, naiona akili kubwa sana kwako inayoenda kuiba dili haraka sana Tanzania kiuchumi
View attachment 2207616