Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Nishatembea dar nzima kuna sehem inatwa kinondon moscow mtoto mdogo miaka 6 ana rista msela anavuta bangi kinondob shamba bang kama sigara watu wanapita mtaan huku wanavuta dar yote nimeimaliza
Huko cha mtoto, nenda tandika taa nyekundu huko ni zaidi ya ahera, kuzimu
 
Zurula wenzako tumezurula mpaka sehemu wanazoishi mqbilionea tupu,achana na obay masaki mikocheni sehemu ambazo ww unaona bab k
Hizo zote bado sana

Ova
Wapi huko wanapoishi mabilionea watupu?
 
Mapinga, nimefika huko kusaka viwanja 2023 πŸ˜‚
 
Kuna mwana nilisoma naye alikuwa anakaa Oysterbay, nimekutana naye US, alikiwa hapajui Buguruni wapi.

Nilimcheka sana mpaka aliporudi likizo ilibidi aende Buguruni kupaona.

Unakaaje Dar halafu Buguruni hupajui?
Mshikaji nlisoma nae anakaaga masaki hapajui tandika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
1. Tandale. βœ…
Siwezi kupasahau hapa, zaidi ya miaka 17 iliyopita niko kwenye daladala za sinza, nusu nichopolewe kimotorola changu pale kwa mtogole.

Hii ni ilala na Temeke zaidi, huko mimi siyo mwenyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…