Mnaomfananishaga Lionel Messi na Cristiano Ronaldo huwaga mnatumia nini kufikiri?

Ukiwatoa Pigopuppies wengi ambao wengine ni fata mkumbo

Hata mwandishi wa ESPN


Ambaye anafahamika kwa mahaba yake na Messi lakini anakubali kuwa GOAT alistahili straight red card
 
Kombe la dunia linapambaniwa sio unazawadiwa.

Wote tunajua Messi alizawadiwa

And as things started it seems like we're going to have another scripted World Cup again.
Nakuheshimu and sikuwahi kuamini kuwa unajadili hoja Kwa hisia pia except for fact
 
Kombe la dunia linapambaniwa sio unazawadiwa.

Wote tunajua Messi alizawadiwa

And as things started it seems like we're going to have another scripted World Cup again.
Ronaldo yeye ameshindwa nini kupewa? Messi apewe world cup yeye ni nani?.. Mbona 2014 alicheza fainali na hawakumpa? yeye Ronaldo anashindwa ata kufika fainali kwa sababu gani au mpaka apewe?.. tuwe wakweli Performance ya Ronaldo world cup ipo low sana ndo maana anazidiwa magoli mpaka na akina Mbappe .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…