Mnaotupigia Kelele kuhusu Chama nina Maswali yangu haya Kwenu

Ulipowataja hao wazee tu nikaona umeandika upuuzi
 
Makocha pia huwa wanakosea kwa hiyo mijadala Kama hiyo ni kumtahadharisha kocha. Kwenye mechi ya ngao ya hisani yule kocha alipomtoa Chama timu ilizidi kuwa na hali mbaya na yanga wakashinda. Pumba zingine huwa unabaki nazo kichwani mwako.
Simba alizidiwa kwa sababu za kiufundi ila sio kupigwa sub kwa chama, second half feisal alirudi kupiga 8 alafu aziz ki akatolewa kule kwenye winga akaletwa kati kupiga 10 ndipo simba akapoteana uwanjani
 
Sasa hapo kakosea nini popoma
 
Leo umeongea point Sana jamaa bravo, kila kocha huwa na aina yake ya kucheza na kila aina ya kucheza huwa na aina ya wachezaji wake..mchezaji anaweza akawa mzuri lakini akashindwa kucheza aina flan ya mpira, siku hz hata ma goli kipa tu wanatakiwa wanaojua kuuchezea mpira maana mifumo mingi ya kisasa inataka kipa ndo aanzishe mashambulizi

Nakumbuka Guardiola alivyotua city aliamua kumuuza Joe Hart akisema footwork yake siyo nzuri akamsajili Ederson, De gea kwenye world cup ya msimu huu alipigwa chini pia sababu hiyo hiyo,

Binafsi naona wakupewa lawama zote ni viongozi wa team ambao wanafanya vetting ya makocha wanaoajiri maana wao ndo wanajua philosophy ya team iweje waajiri mtu anayekuja kuleta philosophy mpya??

Outcrop Rock (Mwamba Kipara)
 
GENTAMYCINE, tunaojua mpira tumekuelewa bro Ila mashabiki oya oya wataleta kelele nyingi..mara nyingi kila game huwa na approach yake na kila kocha huwa na mbinu zake.
 
Pointi nyingi huziweka hapa, tatizo huku kuna mabingwa wa kukariri wenye akili mgando.

Nawe unaonekana unaijua dunia ya mpira, big up!.
 
GENTAMYCINE, tunaojua mpira tumekuelewa bro Ila mashabiki oya oya wataleta kelele nyingi..mara nyingi kila game huwa na approach yake na kila kocha huwa na mbinu zake.
Nyinyi hamna Kitu na mpira hamuujui. Huwezi kumpiga benchi Samatta aanze Bocco au umpige benchi Mbape aanze Martial halafu useme ni approach na mbinu ya kocha Kwa mchezo husika. Cha Kwanza ni kipaji cha Mchezaji halafu approach na mbinu ndio inafuata.Mchezaji Bora lazima awe ndani ya approach ya kocha.
 
Haipo hivyo mkuu, haujawahi kuona mchezaji mwenye talent kubwa lakn anashindwa kuonesha uwezo wake kisa approach ya game?? Mfano mzuri ni Juan Mata pale Chelsea alikuwa tegemezi Sana Ila baada ya kuja Mourinho Ile staili yake ya kupaki bus ikamshinda kabisa mwisho wa siku Mata akatimkia Man U

Ronaldinho Gaucho pia aliwahi kukiri kwamba mbinu mpya za mpira zimekuja kuharibu Radha ya soka sababu wachezaji hawatakiwi kuonesha zaidi burudani na njonjo walizonazo bali wanatakiwa wacheze kutokana na philosophy ya team tu, lengo likiwa ni kupata matokeo, hakuna tena anaejali eti mchezaji awe anapiga piga chenga za upuuzi na kukaa na mpira mda mwingi watu wanataka matokeo tu

Mfano mwingine ni Yule Anthony wa Man U juzi tu baada ya game ya Nottingham v United wachambuzi wengi wakiwemo kina Garry Nevil wanamlaumu kuwa yeye ni mchezea mpira na siyo mchezaji wa mpira, wakimaanisha kuwa ana Mambo ambayo hayana impacts kwenye philosophy Yao ya kushambulia Kwa haraka, maana mda mwingi anataka awe na mpira mguuni aoneshe vitu vyake.
 
Ukinijibu maswali haya basi nitakubaliana na wewe kuhusu hoja uliyoitoa

1. Kwanini Jose Mourinho alikuwa hamtumii Juan Mata wakati msimu mmoja kabla hajaja Mata ndo alikuwa best player pale Chelsea mfumo wa team wote ulikuwa unabebwa na yeye?

2. Kwanini Guardiola aliamua kumuuza Joe Hart kipa ambae alikuwa anafanya vizuri Sana pale city badala yake akaamua kumsajili Ederson?

3. Kwanini David De gea hakuitwa national team kwenye world cup ya 2022 pale Qatar Spain ikiwa chini ya Luis Henrique?

4. Kwann Clatous Chama ambaye ni moja Kati ya viungo Bora kabisa katika Ligi yetu ya NBC hakudumu pale berkane?
 
Weupe sna tu ,kipindi hicho udom na saut vilikuwa vinatoa vijana wa ovyo sna kijana nilikutana nae ktk harakati za fln ndio nikajuwa wako weupe mno

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Rubbish and Nonsensical.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…