Pre GE2025 Mnyika ampongeza Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Marehemu Mengi alikuwa anassupport sana hiki chama pasi n kujificha
 
Hata mikopo na si lazma kuanzia umbumbi wanaweza anza kwa kuwekeza vitu vidogo vidogo chama kianze kuwa na resources
 
Ila kusema kweli nguo za CHADEMA zinapendeza hata kanisani unavaa vizuri tu, sio zile za kijani ukiwa kwenye shamba la mahindi kuonekana ngumu
Hizi nazo ukiwa kwa mitungu ya oryx si unaonekana kama mtungi
 
Hilo jambo la kujenga ukumbi linakuaga kipele sana, watu wanatumia vikao kama fursa ya kupiga hela.

Mpaka leo chama cha mawakili Tanganyika hakina ukumbi wa kutosha mawakili 2,000 wakati kinakusanya ada na michango kwa wanachama, na kibaha viwanja ni bei chee tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…