Katalama
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 855
- 1,483
Usiwe mwepesi kuhukumu ndugu. 99% ya binadamu tunafanya maovu, matendo yasiyopendeza. Ila bado MUNGU ni mwaminifu kwetu. Ametupa pumzi tena tujirekebishe. #May their souls Rest in peace.Tabia za kupenda vitu vya burebure na kusahau mmadhara.
Watanzania wajifunze kuweka ubinadamu mbele, hawa ndio aina ya watu huenda kwenye ajali kuibia majeruhi mali zao.