Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

we unachukuaje gest msamvu? msamvu ni point ya kushukia tu ...
 
Umaskini sio kitu kizuri haya yote ni kwa sababu ya dhiki.

Wamewaacha watu wanaowategemea ktk wakati mgumu sana.

Sitaki hata kuimagine maumivu waliyopitia hawa ndg dah! Wapumzike kwa amani.
 
Umehakikia wapi? Huna hakika, unadhani tu. Inawezekana kulikuwa na wapita njia, wale wanaoshangaa bila kujua madhara n.k hao watu ni wengi sana MUNGU awape wepesi ndugu na familia zao.
Maana ya adhabu ya Mola huwa inachukuwa waliopo na wasio kuwepo halafu kiyama kila mtu anapewa stahiki yake.
 
Janga kubwa namna hii.. BREAKING NEWS ! lakini hakuna hata television moja inayoonesha na kutoa taarifa muendelezo za tukio hili..
Aisee tunakwama wapi, Vyombo vya habari vinakwama wapi ! hata TBC ambayo ni televisheni ya taifa hawaoneshi!! Daaah
Afu moro karibu hapo hata kwa chopa unafika in 30 min
 
Kuna Lori Moja la mafuta lilipinduka mbele ya mto ruvu nikakuta watu na madumu nikaandika humu jamii forums kuwa polisi nendeni mkawapige virungu na mabomu nikatukanwa Sana humu jamii forums kuwa Nina roho ya shetani nk kwa tamko langu lile ona sasa maafa hayo
na hayo mabomu si moto ungezuka hapo
 
Sio malori ya mafuta tu mara kadhaa pia tumelalamikia tabia ya mabasi ya abiria kuingia sheli na abiria lakini mamlaka husika zimekaa kimya ipo siku tutapata majanga makubwa sana Mungu atuepudshe.
Umeniwahi nilitaka niongelee hili yaani kuna siku kitakuja kunuka ndio serikali ianze kukurupuka aisee ni noma na nusu
 
mbeya wameomboleza zaidi ya mara moja, kule kanda ya ziwa hali kadhalika, singida, katikati maeneo ya tanga kama sijakosea pia waliomboleza na sasa ni morogoro...
Tusipojifunza basi tutegemee hili janga kuwa kama msalaba wa jumuiya litapita mikoa yote kwa nyakati tofauti
Dah we jamaa umenichekesha eti "msalaba wa jumuiya"😆😆😆
 
Janga kubwa namna hii.. BREAKING NEWS ! lakini hakuna hata television moja inayoonesha na kutoa taarifa muendelezo za tukio hili..
Aisee tunakwama wapi, Vyombo vya habari vinakwama wapi ! hata TBC ambayo ni televisheni ya taifa hawaoneshi!! Daaah
Nakuonya: ACHA KUIONA TBC NI CHOMBO CHA HABARI.

VYOMBO VYA HABARI NI VILE VYA WATU BINAFSI.
 
Pole kwa waadhiriwa lakini huu upuzi utaisha lini. Yaani tanker ya petroli inapata ajali alafu watu wanakimbia kufionza petroli bila kujali hatari.

IMG_20190810_115646_170.JPG


 
Ambao walikuwa wanaiba mafuta afadhari wamepungua hao vibaka,
Ambao HAWAKUWA na hatia ,Wapita njia, n.k MUNGU AZIWEKE ROHO ZAO MAHALI PEMA PEPONI
AMINA
 
Kuna Lori Moja la mafuta lilipinduka mbele ya mto ruvu nikakuta watu na madumu nikaandika humu jamii forums kuwa polisi nendeni mkawapige virungu na mabomu nikatukanwa Sana humu jamii forums kuwa Nina roho ya shetani nk kwa tamko langu lile ona sasa maafa hayo
Ujinga mzigo, ona sasa wameangamia kwa kukosa maarifa. Siku ukikuta lori la mafuta limepinduka pita mbio au badiri njia. Bora ufe maskini. Pole zao wafiwa
 
Back
Top Bottom