Mnajua kilichompata Mtanzania kule Uingereza aliyesambaza picha za wahanga wa tukio la ugaidi?...In short ni kosa kusambaza picha za wahanga iwe maiti au majeruhi kama kukatika viungo na kadhalika
Sikujua tu kama papo hivyowe unachukuaje gest msamvu? msamvu ni point ya kushukia tu ...
Wapi hukoUkitoka Morogoro uje na huku pia.
Unataka kusema uchumi unakua kwa Kasi ya ajabu Kabisa?Ni njia ya kujikwamua kiuchumi,
Aisee mm sikutambua hilo pia kuna Wizi nyakati za jioniUlifika kunako hata usilaumu, pale itigi ndo palivyo na walipokuona walijua hadi bei yako ni sh ngp? so usilalamike, siku ingine uulize unapotaka kwenda IPO siku utaenda kaumba
Kumamae petrol ya kijiko cha chai tu ni msala sembuse hio ya litre 10000!
Wapumzike kwa Amani, wamekamilisha msemo wa kiswahili:
"Tamaa mbele, mauti nyuma"
Hapo utakuta kuna mwana alikuwa anakinga wese na kipisi cha fegi mdomoni😂😂😂🤣🤣🤣MAANDISHI YAMEANDIKWA KWA HERUFI KUBWA INFLAMABLE,,DANGER, LAKINI HAWAELEWI AU YAANDIKWE KISWAHILI,TENA UNAKUTA HAPA DAR KWENYE FOLENI LORI LIPO MBELE HALAFU UNAMKUTA GARI YA NYUMA LIMTU LINA VUTA SIGARA HUWA NACHUKIA SANA 🙄 🙄ONA SASA WAMEGEUKA NDAFU
Bodaboda ni sikio LA kufa
Sana wala wananchi hawako desperate kupoteza maisha kwa kuchota mafuta kwenye ajali.Unataka kusema uchumi unakua kwa Kasi ya ajabu Kabisa?
ukienda tena moro nenda mtaa ulizia kwa mkuu wa mkoa,forest,nane nane,area 5,sua,kihonda,nk utakua kila ukipata muda unaenda kupumzika moro ukienda mitaa hiyoSikujua tu kama papo hivyo
Usiwe mwepesi kuhukumu ndugu. 99% ya binadamu tunafanya maovu, matendo yasiyopendeza. Ila bado MUNGU ni mwaminifu kwetu. Ametupa pumzi tena tujirekebishe. #May their souls Rest in peace.
Nmepita aisee inasikitisha sana , Mungu awawekee mahali pema peponiUmeenda kwenye eneo la tukio ..
Na mwakyembe alikumbushia mwezi uliopita kwenye ule msiba wa azam.Mnajua kilichompata Mtanzania kule Uingereza aliyesambaza picha za wahanga wa tukio la ugaidi?...In short ni kosa kusambaza picha za wahanga iwe maiti au majeruhi kama kukatika viungo na kadhalika
Hebu ficha upumbavu wako mkuuHawa nao badala ya kuwaza namna ya kusaidia waathirika wa ile ajali wao wanawaza mafutaView attachment 1177397
Sawa nitafika maeneo hayoukienda tena moro nenda mtaa ulizia kwa mkuu wa mkoa,forest,nane nane,area 5,sua,kihonda,nk utakua kila ukipata muda unaenda kupumzika moro ukienda mitaa hiyo
Duuh hapa kuwa na askari wa kuwazuia?
Wamesahau ile ajali ya Iringa miaka kadhaa nyuma. Karibu kijiji kizima kiliteketea sababu ya kusombelea mafuta ya bure. Moto ukishika unafata mtiririko wa matone ya mafuta yalipoenda, hivo hadi nyumba ziliungua.
May their soul Rest In Peace.
Kila siku watu wanapigiwa kelele waache huu upuuzi hawaelewi.
Ni tabia za kipumbavu kabisa, mwenzako anapata ajali wewe unafurahia kwenda kufaidika na ajali.