Njopino
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 3,468
- 5,072
Sijui aungue nani ndo tujifunze.Watanzania hatujifunzi tu.
Matukio haya kila kukicha yanajirudia.
Sijui aungue nani ndo tujifunze.Watanzania hatujifunzi tu.
Matukio haya kila kukicha yanajirudia.
Sawa ni maonintu , mm nadhaninhao walioungua ninkundi la wale ambao inawezekana hawakuzaliwa hao hawakupata hisyoria ya kilichowahi kutokea mm na shauri tu kuwe na siku ya watu kuungua na moto maana huwa tunasahau matukio kama hayaKwani hii ndiyo mara ya kwanza mpaka tuseme funzo? Ishawai kutokea ajali kama hii na wakafa watu zaidi ya hawa huko Mbeya.
mkuu extrovert ni litre 26,000ltrs..
[emoji28][emoji28][emoji28]
Ila we kasie bhana !
TBC wamebaki kuwa chombo cha habari cha kuelezea matukio ya Rais tuu moja kwa moja, habari zingine hazina umuhimu.Janga kubwa namna hii.. BREAKING NEWS ! lakini hakuna hata television moja inayoonesha na kutoa taarifa muendelezo za tukio hili..
Aisee tunakwama wapi, Vyombo vya habari vinakwama wapi ! hata TBC ambayo ni televisheni ya taifa hawaoneshi!! Daaah
Chanzo Imesemekana Ni Teja Alichomoa Betri.Elimu ya moto bado vijana hawajaijua vizuri. Kila mwaka wanakufa sababu ya moto wa mafuta ila naona hawasikii.
Nilijua tu mmoja wapo atakua alikua anavuta sigara kama ile ya huko mbagala mmoja wa wachota mafuta alikua anavuta sigara huku akiwaambia wenzake kua mafuta ya siku hizi sio kama ya zamani hayashiki moto. Ndivyo inavyosemekana mmoja wa bodaboda alikua na fegi mdomoni.
Wapumzike kwa amani, tutawatunzia wake zao na madem zao.
Polisi wanafika watu wanateketeaDuuh hapa kuwa na askari wa kuwazuia?
Wamesahau ile ajali ya Iringa miaka kadhaa nyuma. Karibu kijiji kizima kiliteketea sababu ya kusombelea mafuta ya bure. Moto ukishika unafata mtiririko wa matone ya mafuta yalipoenda, hivo hadi nyumba ziliungua.
May their soul Rest In Peace.
May their souls RIP
Elimu ipi ambayo watanzania hatujui kuhusu mikasa kama hii?. Hata majambazi wakikamatwa au kuuliwa, pia wanasingizia kupewa Elimu.!
!
Badala Watoe Elimu Wako Busy Na Kina Kabendera. Ona Sasa
Wamesema mmoja wa waliokuwa wakichota mafuta hayo alikuwa akivuta sigara, kwamba ndio chanzo cha mlipuko huo.
Chanzo: Mwananchi