kadefeghe
JF-Expert Member
- Apr 21, 2012
- 457
- 673
Hahhahaa. Ni kweli aiser gar za biaa ndo uhakika.ilaa kwa wazoefu. Iv betri la gar mf..makubwaa yanaezaa kuaa sh ngp..maan majanga meng yanatokeagaa mjinga mmojaa akitaka betri.Gari pekee la kulikimbilia likipata ajali ni lori la bia,haya mengine siyo kabisaaa[emoji848][emoji848]