Morogoro: Tundu Lissu awasha moto, ashangaa mabango ya kupatanishwa yaliyobandikwa nchi nzima

Pamoja sana kamanda Tundu Antipas Mugway Lissu. Ni kweli aliyewatuma wauaji wako hayupo duniani lakini wauaji na chawa wake bado wanadunda mtaani. Watanzania acheni au kama haiwezekani kuacha punguzeni unafiq, sio jambo zuri.
 
Kamanda anayetaka kuwapa watoto wake uraia wa EU......
 
Lisu akue sasa swala la yeye kupigwa risasi akubali sio ajenda ya taifa ajenga hoja
Mfano mambo ya kodi tozo ufisadi
Cag nk
Au aboost kidogo na mwanafunzi udom walau kwa sasa itambeba
 
Lisu akue sasa swala la yeye kupigwa risasi akubali sio ajenda ya taifa ajenga hoja
Mfano mambo ya kodi tozo ufisadi
Cag nk
Au aboost kidogo na mwanafunzi udom walau kwa sasa itambeba
Wala yeye hakusema ni ajenda ya kitaifa
 
Tulishaandika mara kadhaa humu JF, kitu pekee kilichobadilika ni "mtindo (style)" tu ya uongozi.

Badala ya vurugu nyingi, makelele na kuumiza watu moja kwa moja, sasa kinachofanyika ni kutumia lugha laini tu, ya kupoza na kusahaulisha, huku malengo yakiwa ni yale yale ya tokea mwanzo.

Tena matokeo ya hii lainisha yatakuwa ni mabaya zaidi, kwa sababu hata baadhi ya wapambanaji watachanganyikiwa akili na kuachana na mapambano ya kuikomboa Tanzania toka kwa mkoloni huyu CCM.
 
Mbowe na Maridhiano : Siasa

Erthyrocyte ,imhotep ,TL: Harakati [emoji1787]
Maridhiano ndiyo hayo yanaenda kulikomboa Taifa kwa mfano Katiba Mpya sio ya CHADEMA pekee tumelilia marekebisho ya HAKI Jinai nalo linafanyiwa kazi.
 
Kwa mara ya Kwanza na muunga Mkono Lissu. Ukiondoa propaganda zingine Haijalisihi, sababu zangu zitajulikana mbeleni. Walakin, Sijamsikia Mbowe akiwa na mtazamo huo. Kulikoni? au miye sina Taarifa!

Kitaeleweka....tafuteni mahojiano ya Heche ya hivi karibuni.
 
Sa100 anaogopa kusimama mbele ya wananchi, anategemea hayo mabango yamsaidie. Sa100 bila speech ya kuandikiwa hawezi kuongea hata kwa dk 15.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…