Morrison huru kujiunga na Simba SC, kamati yasema mkataba wake na Yanga una mapungufu

Kabisa, ashukuru Mungu Simba wamehusika kwenye hili suala lake, angekuwa ametakiwa na timu ndogo ya ndani, au nyingine ya nje, hao viongozi feki wa hiyo kamati lazima wangemchinjia baharini.
 
uwezo wako ni mdogo mno mwenyekiti kuwa yanga ili hali wajumbe 2/3 ni nyau unahisi mwenyekiti anatoa maamuzi yake binafsi. kumbe nawwe umeme mdodo kwa kichwa

kama morrisoni haku saini mkataba iyo pesa alichukua ya nini na anapelekwa kamatini tena kwa kosa gani?
 
Lazima Watu wawajibishwe kwa hili huu uhuni ni lazima ufike mwisho haiwezekani Tarehe ya Mkataba inaonesha ulisainiwa March 20,2020 wakati tarehe sahihi inaonesha ni Julia 17 ,2020,Lakin pia ukurasa wa kutia saint umekatwa..........TAKUKURU Fanyeni kazi yenu hapa.
 
kwamba yeye si mkosaji iyo pesa anatakiwa kurudisha ya nini, na bado anatakiwa kamatini tena kwa nini kubali viongozi wameongozwa na u nyau fc wanatoa maamuzi ya kibwege sana
 
Nimekuelewa mkuu..! Sirudii
 
Bosi,kile kilikuwa kishika uchumba ili avutike akasaini. Tumia akili kidogo japo najua wewe ni ‘Empty head’
 
iyo wamegushi mkataba unaitoa wapi, iyo pesa anazotakiwa rudisha alipewa katika mazingira gani (kama si ya kusaini mkataba) ama ilikuwa hongo
 
Usitufokee ,mmefoji mkataba halafu lawama kwa simba,simba walishaona mapungufu ya mkataba ndo maana hawajasubiri TFF kumsajili morison ,walaumu utopolo na TFF siyo simba ,hata hiyo bodi ya sheria unajua mwenyekiti wake ndo huyo huyo aliyegombea uenyekiti wa yanga na msolwa ?hata hivo mlitakiwa mpigwe adhabu kubwa
 
Bosi,kile kilikuwa kishika uchumba ili avutike akasaini. Tumia akili kidogo japo najua wewe ni ‘Empty head’
tangu lini kishika uchumba kikarudi mkuu,isemwe wazi dogo ana tamaa na historia inaonesha ivo mambo ya kishika uchumba unayajua ww
 
Naona Yanga amebebwa wazi wazi, kwanini wamefoji mkataba na wanaachwa hivi hivi?
 
Reactions: Tui
kwamba yeye si mkosaji iyo pesa anatakiwa kurudisha ya nini, na bado anatakiwa kamatini tena kwa nini kubali viongozi wameongozwa na u nyau fc wanatoa maamuzi ya kibwege sana
Ilikuwa ni muhimu kumrifaa kwenye hiyo Kamati nyingine japokuwa hakuna kesi ya msingi.
“Eti kwanini asaini Simba wakati kuna kesi yake?! Si anasema tu “nimesaini kwasababu sikuwa mkataba na kilichofanyika ni kufoji. Na bahati nzuri kamati yako imelithibitisha hilo.”
Hapo hakuna kesi bosi. Watu wameamua kujitoa kiaina.
 
iyo wamegushi mkataba unaitoa wapi, iyo pesa anazotakiwa rudisha alipewa katika mazingira gani (kama si ya kusaini mkataba) ama ilikuwa hongo
Umeshaambiwa sehemu ya kusaini mkataba kati ya viongozi wa Yanga na Morrison hapaonekani, pamechanwa, unadhani ni nani waliofanya uhuni huo kama sio GSM?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…