Moshi: Mahakama yamuachia huru Wendy Mrema aliyetuhumiwa kumuua mama yake mzazi na kumzika

Ukiifatilia hii kesi huyo mshtakiwa wa kwanza ni Mganga awali alikua na mahusiano na Wendy inaelezwa ndiye aliyecheza michezo yote ikiwemo kumpumbaza huyo Wend kuuza mali na kummaliza mama yake
 
Hapo wameyamaliza nyumba I kummk.

Mchagga anaamka saa 10 anabeba majani ya sale anakwenda Kwa aliyemkosea akiamka tu anamkuta mlangoni. Wakishakula ndafu na mbege kesi imeisha.

Maisha hayatakuja kuisha Kilimanjaro. Stupid
 
Jeshi la Polisi limeufukua Mwili huo leo tarehe 09-01-2022 katika kata ya Rau baada ya kumhoji binti huyo Kwa zaidi ya wiki mbili sasa Kisha kukiri kumchinja mama yake Kwa panga na kumfukia nyumbani hapo.

Ni takribani Mwaka sasa ndugu na majirani walipokuwa wamuulizia mama huyo walipatiwa majibu na binti huyo kuwa amesafiri Kwa matibabu nje ya nchi.
 
Hapo wameyamaliza nyumba I kummk.

Mchagga anaamka saa 10 anabeba majani ya sale anakwenda Kwa aliyemkosea akiamka tu anamkuta mlangoni. Wakishakula ndafu na mbege kesi imeisha.

Maisha hayatakuja kuisha Kilimanjaro. Stupid
Kesi ilikuwa chini ya serikali bwasheee..
 
Maigwa alifafanua: “Desemba 20, mwaka jana, majirani zake walikuja Polisi kutoa taarifa za shaka kwamba huenda Patricia aliuawa miezi 10 iliyopita. Tulianza uchunguzi ikiwamo kukusanya vielelezo na tulifanikiwa kuwatia mbaroni watuhumiwa hao ambao walienda kuonyesha walipouficha mwili wa marehemu.
 
Hii sijailewa, kesi ya mauaji inakuwa chini ya jamhuri. Kumbuka haya sio madai bali ni jinai
sasa jamhuri imekwaje tena Ione haja wasiendelee na kesi? Hata wangezuga kwanza kwa miaka kadhaa siyo wazi wazi hivi
 
  • Polisi walisema wanakamilishha upelelezi
  • Wakakamilisha upelelezi, wakasema mtuhumiwa amekili kuhusika
  • Akafikishwa mahamani
  • Nini kinamfanya mwendesha mashtaka aseme hana nia ya kundelea na kesi kama mhusika alikili kutenda kosa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…