Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri mama yako auawe halafu umsamehe muuaji!Alishakufa wamsamehe tu hakuna asiyetenda dhambi
Hao wawili ni mtoto na mama yake mzazi si mtu baki, mama kafa kisha unamnyonga mtoto na huenda alikuwa huyohuyo mmoja!Subiri mama yako auawe halafu umsamehe muuaji!
HakukiriHuyu nakumbuka kama alikiri mwenyewe kumuua na sasa kimetokea nini? au nimechanganya mafaili
Sasa watu si watakua wanauana Kama kuku? Adhabu ya kuua iliwekwa kali ili kupunguza mauaji, vinginevyo watu wangekuwa wanauana kuliko ilivyo sasa.Alishakufa wamsamehe tu hakuna asiyetenda dhambi
Hapo wameyamaliza nyumba I kummk.Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imemuachia huru Wendi Mrema aliyekuwa akituhumiwa kumuua mama yake mzazi.
Uamuzi huo umetolewa na Hakimu, Naomi Mwirinde, leo Agosti 19, 2022 baada ya upande wa mashitaka kuwasilisha maombi ya kutokuwa na nia ya kuendelea na shauri hilo.
Pia soma: Moshi: Anayetuhumiwa kumuua mama yake kwa panga afikishwa mahakamani
Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja
Hii sijailewa, kesi ya mauaji inakuwa chini ya jamhuri. Kumbuka haya sio madai bali ni jinaiNdugu wameona tumeshapoteza hakuna haja ya kuendelea kupoteza ni bora2 tusamehane arudi uraiani Mungu ndye atahukumu
Kesi ilikuwa chini ya serikali bwasheee..Hapo wameyamaliza nyumba I kummk.
Mchagga anaamka saa 10 anabeba majani ya sale anakwenda Kwa aliyemkosea akiamka tu anamkuta mlangoni. Wakishakula ndafu na mbege kesi imeisha.
Maisha hayatakuja kuisha Kilimanjaro. Stupid
Kwani hao ndugu ndiyo waliofungua kesi dhidi ya watuhumiwa wa mauaji na kwamba wana uwezo wa kuwasamehe na kisha kesi ya aina hiyo kufutwa?Ndugu wameona tumeshapoteza hakuna haja ya kuendelea kupoteza ni bora2 tusamehane arudi uraiani Mungu ndye atahukumu
Sidhani kama kesi ya mauaji ina upenyo wa wahusika kuombana radhi nje ya mahakama na kisha kesi ifutwe mahakamani.Ndugu wameona tumeshapoteza hakuna haja ya kuendelea kupoteza ni bora2 tusamehane arudi uraiani Mungu ndye atahukumu
Serikali ni mshtaki Kwa niaba tu.Kesi ilikuwa chini ya serikali bwasheee..
sasa jamhuri imekwaje tena Ione haja wasiendelee na kesi? Hata wangezuga kwanza kwa miaka kadhaa siyo wazi wazi hiviHii sijailewa, kesi ya mauaji inakuwa chini ya jamhuri. Kumbuka haya sio madai bali ni jinai
Mganga hajaachiwaNa yule jamaa yake mganga feki naye ameachiwa? Wahusika halisi wa hilo tukio watatiwa lini hatiani?
Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imemuachia huru Wendi Mrema aliyekuwa akituhumiwa kumuua mama yake mzazi.
Uamuzi huo umetolewa na Hakimu, Naomi Mwirinde, leo Agosti 19, 2022 baada ya upande wa mashitaka kuwasilisha maombi ya kutokuwa na nia ya kuendelea na shauri hilo.
Pia soma: Moshi: Anayetuhumiwa kumuua mama yake kwa panga afikishwa mahakamani
Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja