Mpaka leo najiuliza, ilikuwaje mpaka Magufuli akawa Rais?

Mimi nilitamani nione matokeo ya uongo wake katika kuendesha mambo ila akatoroka kupitia kifo akamwachia jumba mbovu mwingine
 
Mtu anakula rambirambi

Kwanza jiulize hadi anakuwa naibu waziri wa ujenzi Mkapa alimtoa wapi??
 
Siyo siri, Magu hakuwa chaguo la kwanza la Kamati Kuu ya CCM kuwania Urais.
Umakundi na uhasama kati ya yale makundi ndiyo yaliyomuibua Magu ambaye wasifu wake kuukamata Urais vile vile siyo siri, ulikuwa hautoshelezi.
Muongo ww, hivi membe, makamba, lowassa, pinda, na wengine wakatwe abaki magufuli afu useme alikuwa hatoshi?
 
Muongo ww, hivi membe, makamba, lowassa, pinda, na wengine wakatwe abaki magufuli afu useme alikuwa hatoshi?
Hapo ndio palikuwa na fitna zaidi na ubinafsi kutawala.
Na ndio maana kilio changu ni Kanati Kuu ya CCM.
Mtu ana faili Milembe(hata Mwenyekiti wa CCM Mwanza ndg Diallo alibaini).

Vyombo vya ku vet ni lazima iliyajua haya.
 
Umedadavua kweli.
Sasa inabidi vikso vya Kamati Kuu CCM viwe na uwazi ili viwajibike kwa wananchi na si kwa CCM peke yake.
Nimedokeza tu, kama ulivyosema, na nia yangu hasa ni kutaka kuwajuwa hawa watu waliomo kwenye chama na kamati mhimu kama hiyo inayowaamulia waTanzania wote hatma ya nchi yao bila ya kuhojiwa na yeyote.

Hawa wajumbe wa kamati hizi wanajulikana, na ni hivi karibuni tu Samia naye kaweka ya kwake itakayomwamulia mambo anayoyataka yeye ,na baada ya yeye, atakayekuwepo kumpokea yeye..

Huu ni udhaifu mkubwa katika mfumo wa kuwapata viongozi wa nchi yetu.
 
Uchukue fomu na wewe mweye roho nzuri,usiye na kashfa ugonbee uchaguzi ujao uwe Rais.

Unafikiri Kingmakers wa nchi wanaangalia makalio binti.
 
Mwendazake hakuwa kiongozi sahihi kwa nchi yetu na alipatikana kwa udhaifu wa Kikwette kutaka kumuengua Lowassa huku akimg'ang'ania Membe. Ile chuki, utekaji, uuaji, kudharau Katiba, kutofuata Utawala wa Sheria, kupendelea kwao na wizi siyo tabia ambayo ilikuwa haijampendeza Mungu.
Mathias Chikawe aliyekuwa Waziri anayeisimamia TISS alificha faili la Afya ya akili ya Magufuli

TISS walikwishamaliza kazi kwa kuleta faili la psychiatry la Magufuli lakini Chikawe alilificha hakupeleka Kamati Kuu ya CCM.

Hivyo tumetawaliwa na kichaa kuanzia October 2015 hadi March 2021. Hivi kweli Rais mwenye akili sawasawa anaweza kula mahindi hadharani kama nyani?
 
Magufuli was Gifted, Pamoja na Unyeti wa Post ya Rais ila kuna wakati Taifa lazima Liruhusu mtu wa Haiba ya Magufuli ku take Charge inaleta Hailing sana, Ndio mana to date pamoja na Kuwa died and Buried ila Watawala tena ata top Level wana hangaika na Mzimu wake, Magugfuli came for purposes ndo mana hakuweza kutawala kwa team zote, He did what was meant to be Done, Successful na ametuachia Lesson Kubwa ambapo through his 5 and half year of tenure could live for years to come
 
Vita ya magenge ya ccm ilituletea majanga 😝😝
 
Bora huyo mla mahindi kuliko nyie walamba asali, mmetanguliza matumbo yenu
 
kwa hiyo ule uzi wako kwamba 2025 maushungi atoke kwanza bado una imani nao?!
 
Lazima pawepo na mjadala wa kitaifa NDANI ya CCM kwa namna tunavyoweza kuweka mchakato sahihi kumpata rais wa nchi.

Madhaifu tuliyoyaona 2015 kumpata rais ndani ya CCM ni matokeo hasi pale mitandao inaposhitukiwa na wanachama.
Anachukuliwa mtubaki yeyote asiye na vigezo.
Na tumeona hata wale wa mitandao walivyoumizwa vibaya miaka mitano ya Magufuli.
 
Kwa jinsi ulivyokuwa compromised machakato wa kumpata rais ndani ya Kamati Kuu ya chama, kutawaliwa hakuko mbali, chama sasa ni tumbo lako tu.
 
Mkuu you are living in your own world of fantansies!
Sometimes hauko real!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…