Mpaka muda huu REFORMS kabla ya UCHAGUZI/ELECTION zina hitajika kuanzia ndani ya vyama vya siasa mpaka kitaifa

B-2 STEALTH BOMBER

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
4,640
Reaction score
6,422
WAKUUU
nimeona kuahirishwa kwa kikao cha masisiemu leo. Kiukweli nimefurahia sana sana sio kwa kidogo bali kwa wingi sana.
Kama ndani ya chama chao wameanza kumkataa live live basi wale wazee wa NO REFORMS NO ELECTION zidisheni mashambulizi kila kona kila idara kwa kila mtanzania wa bara na visiwani kwa kila kanda na kila kada na kila eneo zidisheni mashambulizi na umakini KANANI haipo mbali.
Leo somo la NRNE linaanza kuzaa matunda makubwa kwa haya yanayo tokea. Sisi watu wa kawaida hatujui mengi ila tuna macho na masikio na pia akili zetu zisha tambua.
Mama yenu hakubaliki hata mkimpanga na Mwijaku watu watamtaka mwijaku [utani]
Wale wastaafu wanao penda kulazimisha msimamo wao uwe maamuzi ya watu 60Milioni tuna waomha waache kutuona mazwazwa. Wanaharibu taifa kisa tu wanalamba keki/asali ya taifa.
wana sisiemu leo nitakunywa pombe kwa mara ya kwanza kusherehekea kujitambua kwenu.
Mungu awabariki ujumbe wenu umemfikia bibi au mama abdul na ngome yake pia kwa yule mstaafu ameona hali halisi.

Taifa letu limegawanyika na watu wamepondeka mioyo kwa maumivu ya utekaji, uuaji na ufiraji pia dhulma na mateso mengine yote yameharibu utulivu wa nafsi za watanzania.

Tunaomba wale wenye mamlaka za juu kwa vyama vyoote:- tambueni ya kuwa siasa ni maisha ya watu na uongozi lazima uchaguliwe na watu/wananchi. Ni ajabu kukesha na kushinda kusifia kwenye uvunjifu wa haki za kiraia kama.watu wanakufa wanatekwa wanabakwa na wanaumizwa na hatupewi majibu ya haya matendo tunaambiwa kifo ni kifo. Wakuu tuna mioyo ya damu na nyama na sio mawe. Tuzidi kujijengea mazoea ya kukubali ukweli hasa ukiona watu hawakutaki basi kubali na jiepushe na aibu na mkono wa sheria juu ya matendo yako mabaya.
Zaidi wanasiasa wetu jijengeeni mazoea ya kuridhika na mnachopata. Itawasaidia hata maisha mengine. Punguzeni tamaa na kataaeni kusifiwa sifiwa na machawa wana wapoteza na siku mkikamatwa na sheria za kimataifa machawa watakua wakwanza kuwakana
Namalizia kwa kukazia tena
NO REFORMS NO ELECTION kwa Watanzania woote hii tunaihitaji na tuipambanie kwa kila hali.
NB mods huu uzi msiufute maana mnazingua
 
Hiki kitu ilikuwa inanisikitisha sana,yaani wanaume wote huko CCM wampishe au wamchague Samia kuwa Rais kwa lipi?
Yaani mimi ni Chadema ni heri tuongozwe na Mtanganyika mwanaume anayetoka CCM kuliko mama mwanamke tena kwa kulazimisha,maana hakuna alichokifanya zaidizaidi alikuwa bado anatembelea nyota ya Magufuri, pili hana uwezo wa kuongoza naami mara mia Anna tibaijuka
 
Mkuu upo sahihi sana namna tu anavyo ongea na hotuba zake unaona tu hatuna raisi hapa.
 
WAKUUU
nimeona kuahirishwa kwa kikao cha masisiemu leo. Kiukweli nimefurahia sana sana sio kwa kidogo bali kwa wingi sana.
Kama ndani ya chama chao wameanza kumkataa live live basi wale wazee wa NO REFORMS NO ELECTION zidisheni mashambulizi kila kona kila idara kwa kila mtanzania wa bara na visiwani kwa kila kanda na kila kada na kila eneo zidisheni mashambulizi na umakini KANANI haipo mbali.
Leo somo la NRNE kinaanza kuzaa matunda makubwa kwa haya yanayo tokea. Sisi watu wa kawaida hatujui mengi ila tuna macho na masikio na pia akili zetu zisha tambua.
Mama yenu hakubaliki hata mkimpanga na Mwijaku watu watamtaka mwijaku [utani]
Wale wastaafu wanao penda kulazimisha msimamo wao uwe maamuzi ya watu 60Milioni tuna waomha waache kutuona mazwazwa. Wanaharibu taifa kisa tu wanalamba keki/asali ya taifa.
wana sisiemu leo nitakunywa pombe kwa mara ya kwanza kusheregekea kujitambua kwenu.
Mungu awabariki ujumbe wenu umemfikia bibi au mama abdul na ngome yake pia kwa yule mstaafu ameona hali halisi.

Taifa letu kimegawanyika na watu wamepondeka mioyo kwa maumivu ya utekaji, uuaji na ufiraji pia dhulma na mateso mengine yote yameharibu utulivu wa nafsi za watanzania.

Tunaomba wale wenye mamlaka za juu kwa vyama vyoote:- tambueni ya kuwa siasa ni maisha ya watu na uongozi lazima uchaguliwe na watu/wananchi. Ni ajabu kukesha na kushinda kusifia kwenye uvunjifu wa haki za kiraia kama.watu wanakufa wanatekwa wanabakwa na wanaumizwa na hatupewi majibu ya haya matendo tunaambiwa kifo ni kifo. Wakuu tuna mioyo ya damu na nyama na sio mawe. Tuzidi kujijengea mazoea ya kukubali ukweli hasa ukiona watu hawakutaki basi kubali na jiepushe na aibu na mkono wa sheria juu ya matendo yako mabaya.
Zaidi wanasiasa wetu jijengeeni mazoea ya kuridhika na mnachopata. Itawasaidia hata maisha mengine. Punguzeni tamaa na kataaeni kusifiwa sifiwa na machawa wana wapoteza na siku mkikamatwa na sheria za kimataifa machawa watakua wakwanza kuwakana
Namalizia kwa kukazia tena
NO REFORMS NO ELECTION kwa Watanzania woote hii tunaihitaji na tuipambanie kwa kila hali.
NB mods huu uzi msiufute maana mnazingua
Mama Samia Na Jakaya kikwete Forever!

Join the movement NOW!
 
Ukisema taifa linahigaji reforms, unamaanisha hata CHAUMMA wanahitaji reforms? Mrema na Kigaila watakuelewa kweli?
Watanielewa akilini ila tamaa tu mkuu. Wamejionea na wametumika tu na hawana impacts kwa sasa
 
Kikwete ni adui wa Taifa!
Kabisa hii movement iende na kumkataa huyu mzee. Mzee ni very selfishness na hajui kale kahekima tulimpa mpaka sasa tuna kaondoa. Wanasema mchawi akizeeka anakua malaika ila huwa mm nasema mchawi akizeeka anakua balaa zaidi maana hana huruma na soni.
Ila ngoma ikilia sana jua inakaribia kupasuka
 
WAKUUU
nimeona kuahirishwa kwa kikao cha masisiemu leo. Kiukweli nimefurahia sana sana sio kwa kidogo bali kwa wingi sana.
Kama ndani ya chama chao wameanza kumkataa live live basi wale wazee wa NO REFORMS NO ELECTION zidisheni mashambulizi kila kona kila idara kwa kila mtanzania wa bara na visiwani kwa kila kanda na kila kada na kila eneo zidisheni mashambulizi na umakini KANANI haipo mbali.
Leo somo la NRNE kinaanza kuzaa matunda makubwa kwa haya yanayo tokea. Sisi watu wa kawaida hatujui mengi ila tuna macho na masikio na pia akili zetu zisha tambua.
Mama yenu hakubaliki hata mkimpanga na Mwijaku watu watamtaka mwijaku [utani]
Wale wastaafu wanao penda kulazimisha msimamo wao uwe maamuzi ya watu 60Milioni tuna waomha waache kutuona mazwazwa. Wanaharibu taifa kisa tu wanalamba keki/asali ya taifa.
wana sisiemu leo nitakunywa pombe kwa mara ya kwanza kusheregekea kujitambua kwenu.
Mungu awabariki ujumbe wenu umemfikia bibi au mama abdul na ngome yake pia kwa yule mstaafu ameona hali halisi.

Taifa letu kimegawanyika na watu wamepondeka mioyo kwa maumivu ya utekaji, uuaji na ufiraji pia dhulma na mateso mengine yote yameharibu utulivu wa nafsi za watanzania.

Tunaomba wale wenye mamlaka za juu kwa vyama vyoote:- tambueni ya kuwa siasa ni maisha ya watu na uongozi lazima uchaguliwe na watu/wananchi. Ni ajabu kukesha na kushinda kusifia kwenye uvunjifu wa haki za kiraia kama.watu wanakufa wanatekwa wanabakwa na wanaumizwa na hatupewi majibu ya haya matendo tunaambiwa kifo ni kifo. Wakuu tuna mioyo ya damu na nyama na sio mawe. Tuzidi kujijengea mazoea ya kukubali ukweli hasa ukiona watu hawakutaki basi kubali na jiepushe na aibu na mkono wa sheria juu ya matendo yako mabaya.
Zaidi wanasiasa wetu jijengeeni mazoea ya kuridhika na mnachopata. Itawasaidia hata maisha mengine. Punguzeni tamaa na kataaeni kusifiwa sifiwa na machawa wana wapoteza na siku mkikamatwa na sheria za kimataifa machawa watakua wakwanza kuwakana
Namalizia kwa kukazia tena
NO REFORMS NO ELECTION kwa Watanzania woote hii tunaihitaji na tuipambanie kwa kila hali.
NB mods huu uzi msiufute maana mnazingua
Kwa yule bibi, chama cha mambuzi waliokota garasha.
 
Back
Top Bottom