B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Mkuu upo sahihi sana namna tu anavyo ongea na hotuba zake unaona tu hatuna raisi hapa.Hiki kitu ilikuwa inanisikitisha sana,yaani wanaume wote huko CCM wampishe au wamchague Samia kuwa Rais kwa lipi?
Yaani mimi ni Chadema ni heri tuongozwe na Mtanganyika mwanaume anayetoka CCM kuliko mama mwanamke tena kwa kulazimisha,maana hakuna alichokifanya zaidizaidi alikuwa bado anatembelea nyota ya Magufuri, pili hana uwezo wa kuongoza naami mara mia Anna tibaijuka
Ila huyu Mama anajua kusimanga watu aiseeeMkuu upo sahihi sana namna tu anavyo ongea na hotuba zake unaona tu hatuna raisi hapa.
Mama Samia Na Jakaya kikwete Forever!WAKUUU
nimeona kuahirishwa kwa kikao cha masisiemu leo. Kiukweli nimefurahia sana sana sio kwa kidogo bali kwa wingi sana.
Kama ndani ya chama chao wameanza kumkataa live live basi wale wazee wa NO REFORMS NO ELECTION zidisheni mashambulizi kila kona kila idara kwa kila mtanzania wa bara na visiwani kwa kila kanda na kila kada na kila eneo zidisheni mashambulizi na umakini KANANI haipo mbali.
Leo somo la NRNE kinaanza kuzaa matunda makubwa kwa haya yanayo tokea. Sisi watu wa kawaida hatujui mengi ila tuna macho na masikio na pia akili zetu zisha tambua.
Mama yenu hakubaliki hata mkimpanga na Mwijaku watu watamtaka mwijaku [utani]
Wale wastaafu wanao penda kulazimisha msimamo wao uwe maamuzi ya watu 60Milioni tuna waomha waache kutuona mazwazwa. Wanaharibu taifa kisa tu wanalamba keki/asali ya taifa.
wana sisiemu leo nitakunywa pombe kwa mara ya kwanza kusheregekea kujitambua kwenu.
Mungu awabariki ujumbe wenu umemfikia bibi au mama abdul na ngome yake pia kwa yule mstaafu ameona hali halisi.
Taifa letu kimegawanyika na watu wamepondeka mioyo kwa maumivu ya utekaji, uuaji na ufiraji pia dhulma na mateso mengine yote yameharibu utulivu wa nafsi za watanzania.
Tunaomba wale wenye mamlaka za juu kwa vyama vyoote:- tambueni ya kuwa siasa ni maisha ya watu na uongozi lazima uchaguliwe na watu/wananchi. Ni ajabu kukesha na kushinda kusifia kwenye uvunjifu wa haki za kiraia kama.watu wanakufa wanatekwa wanabakwa na wanaumizwa na hatupewi majibu ya haya matendo tunaambiwa kifo ni kifo. Wakuu tuna mioyo ya damu na nyama na sio mawe. Tuzidi kujijengea mazoea ya kukubali ukweli hasa ukiona watu hawakutaki basi kubali na jiepushe na aibu na mkono wa sheria juu ya matendo yako mabaya.
Zaidi wanasiasa wetu jijengeeni mazoea ya kuridhika na mnachopata. Itawasaidia hata maisha mengine. Punguzeni tamaa na kataaeni kusifiwa sifiwa na machawa wana wapoteza na siku mkikamatwa na sheria za kimataifa machawa watakua wakwanza kuwakana
Namalizia kwa kukazia tena
NO REFORMS NO ELECTION kwa Watanzania woote hii tunaihitaji na tuipambanie kwa kila hali.
NB mods huu uzi msiufute maana mnazingua
Ni binadamu hao sio Mungu so wanakufa wanaweza ata kuzabwa vibao hata kupinduliwa kuwa na hakiba ya maneno.Mama Samia Na Jakaya kikwete Forever!
Join the movement NOW!
Watanielewa akilini ila tamaa tu mkuu. Wamejionea na wametumika tu na hawana impacts kwa sasaUkisema taifa linahigaji reforms, unamaanisha hata CHAUMMA wanahitaji reforms? Mrema na Kigaila watakuelewa kweli?
Kabisa hii movement iende na kumkataa huyu mzee. Mzee ni very selfishness na hajui kale kahekima tulimpa mpaka sasa tuna kaondoa. Wanasema mchawi akizeeka anakua malaika ila huwa mm nasema mchawi akizeeka anakua balaa zaidi maana hana huruma na soni.Kikwete ni adui wa Taifa!
Mtu wa mipasho huyo tena ukute yupo ndoa za mitala hahaIla huyu Mama anajua kusimanga watu aiseee
Sawa sawaMtapata reform wala msijali bwashee
Kwa yule bibi, chama cha mambuzi waliokota garasha.WAKUUU
nimeona kuahirishwa kwa kikao cha masisiemu leo. Kiukweli nimefurahia sana sana sio kwa kidogo bali kwa wingi sana.
Kama ndani ya chama chao wameanza kumkataa live live basi wale wazee wa NO REFORMS NO ELECTION zidisheni mashambulizi kila kona kila idara kwa kila mtanzania wa bara na visiwani kwa kila kanda na kila kada na kila eneo zidisheni mashambulizi na umakini KANANI haipo mbali.
Leo somo la NRNE kinaanza kuzaa matunda makubwa kwa haya yanayo tokea. Sisi watu wa kawaida hatujui mengi ila tuna macho na masikio na pia akili zetu zisha tambua.
Mama yenu hakubaliki hata mkimpanga na Mwijaku watu watamtaka mwijaku [utani]
Wale wastaafu wanao penda kulazimisha msimamo wao uwe maamuzi ya watu 60Milioni tuna waomha waache kutuona mazwazwa. Wanaharibu taifa kisa tu wanalamba keki/asali ya taifa.
wana sisiemu leo nitakunywa pombe kwa mara ya kwanza kusheregekea kujitambua kwenu.
Mungu awabariki ujumbe wenu umemfikia bibi au mama abdul na ngome yake pia kwa yule mstaafu ameona hali halisi.
Taifa letu kimegawanyika na watu wamepondeka mioyo kwa maumivu ya utekaji, uuaji na ufiraji pia dhulma na mateso mengine yote yameharibu utulivu wa nafsi za watanzania.
Tunaomba wale wenye mamlaka za juu kwa vyama vyoote:- tambueni ya kuwa siasa ni maisha ya watu na uongozi lazima uchaguliwe na watu/wananchi. Ni ajabu kukesha na kushinda kusifia kwenye uvunjifu wa haki za kiraia kama.watu wanakufa wanatekwa wanabakwa na wanaumizwa na hatupewi majibu ya haya matendo tunaambiwa kifo ni kifo. Wakuu tuna mioyo ya damu na nyama na sio mawe. Tuzidi kujijengea mazoea ya kukubali ukweli hasa ukiona watu hawakutaki basi kubali na jiepushe na aibu na mkono wa sheria juu ya matendo yako mabaya.
Zaidi wanasiasa wetu jijengeeni mazoea ya kuridhika na mnachopata. Itawasaidia hata maisha mengine. Punguzeni tamaa na kataaeni kusifiwa sifiwa na machawa wana wapoteza na siku mkikamatwa na sheria za kimataifa machawa watakua wakwanza kuwakana
Namalizia kwa kukazia tena
NO REFORMS NO ELECTION kwa Watanzania woote hii tunaihitaji na tuipambanie kwa kila hali.
NB mods huu uzi msiufute maana mnazingua
Remote controledKwa yule bibi, chama cha mambuzi waliokota garasha.
Siyo mitala tu bali anasuguliwa kwa foleni.Mtu wa mipasho huyo tena ukute yupo ndoa za mitala haha
From Msoga countyRemote controled
Mange alikujaga na story kuwa anasagana na fulani na fulani. Mmh sija ukweli kwa hayo na sijui ila anajua yeye na maisha yakeSiyo mitala tu bali anasuguliwa kwa foleni.
Mstaafu ndiye anaongoza sasa mwenyewe kazeeka na uwezo wa kusoma mambo pia umepungua.From Msoga county
Labda kanunua ile mitambo ya kuchomeka kwenye umeme, then anajishughulikia kwa kubofya switch tu anakula utamu.Mange alikujaga na story kuwa anasagana na fulani na fulani. Mmh sija ukweli kwa hayo na sijui ila anajua yeye na maisha yake