wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Dah naona umeamua kuwachanganya NEC.Ili lipate kutimia lile neno kuwa "wa mwisho atakuwa wa kwanza".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah naona umeamua kuwachanganya NEC.Ili lipate kutimia lile neno kuwa "wa mwisho atakuwa wa kwanza".
Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC).
Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu awe namba 1 na yule awe namba 5 ama awe namba 8?
Nitasema Kweli Daima Fitna kwangu Mwiko .
Subiri ije, itakuwa inapendezakama imekaa vizuri vile !
Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC).
Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu awe namba 1 na yule awe namba 5 ama awe namba 8?
Nitasema Kweli Daima Fitna kwangu Mwiko .
Projection design/structure ya presidential ballot paper ilikuwa negotiated na kukubalika baina ya vyama vyote tangu 1995 kuwa logic ya kupanga majina ya vyama vya Siasa kwenye ballot paper iongozwe na mpangilio wa herufi2015 walifata mpangilio Alphabetically.
Kwa hiyo na hii itakuwa ni ajenda mojawapo baada ya uchaguzi?Tunataka majibu
Ukinijibu swali hili na la kwako litakuwa limepata jibu.Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe.
Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC).
Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu awe namba 1 na yule awe namba 5 ama awe namba 8?
Nitasema Kweli Daima Fitna kwangu Mwiko .
Huo ni mfano Boss.. siyo kitu halisi.. katika karatasi Halisi waweza kukuta CHADEMA Ndo no.1
Chadema watumie mtandao wao nchi nzima kufundisha watu namna ya kumpigia kura mtu wao, na wawahi kwa wingi la sivyo muda wa kupiga kura utaisha halafu watu wao maefu kwa maelfu au hata mamilioni kukosa nafasi ya kumpigia kuraUmeongea point sn kiongozi
Kabisa mkuuChadema watumie mtandao wao nchi nzima kufundisha watu namna ya kumpigia kura mtu wao, na wawahi kwa wingi la sivyo muda wa kupiga kura utaisha halafu watu wao maefu kwa maelfu au hata mamilioni kukosa nafasi ya kumpigia kura
Hata wewe uliekuja kuchangia uzi huu wa mtoa mada ni takataka vilevile...Chadema kila kitu wao ni wajuaji na lawama all in all mleta Mada ni takataka tu