proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
𝐖𝐞𝐞𝐞𝐞!!!! Nani kakudanganya
ukila ni kazi unaweza kukabwa, ukila bila utaratibu maalumu utaugua. Kula ni kazi na ni sayansi pia.
Kulala.. utaota mandoto mabaya unakimbizwa....una.....unambato (me) au unambwato (ke) mara umelowa.
Kunya (kupoop) kwenyewe kazi ulishawahi kubanwa stendi huna hata mia...unasafiri gari halisimami....
Choo kigumu usiseme(constipation)[emoji849][emoji849][emoji849]. Mara unagongewa mlango huku huhamaliza starehe.
Acha tu kazi yoyote ni ngumu mkuu hakuna kirahisi
𝐖𝐚𝐧𝐚𝐤𝐨𝐬𝐞𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐧𝐢 𝐩𝐨𝐬𝐡𝐨 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐬𝐥𝐚𝐡𝐢 𝐡𝐚𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐭𝐮 𝐜𝐡𝐚 𝐦𝐬𝐢𝐧𝐠𝐢 𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐮𝐧𝐚𝐜𝐡𝐨𝐤𝐢𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚.
𝐭𝐚𝐟𝐮𝐭𝐚 𝐦𝐛𝐢𝐧𝐮 𝐦𝐛𝐚𝐝𝐚𝐥𝐚 𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐤𝐮𝐳𝐚 𝐤𝐢𝐩𝐚𝐭𝐨
𝐀𝐜𝐡𝐚 𝐦𝐚𝐧𝐮𝐧𝐠'𝐮𝐧𝐢𝐤𝐨 𝐟𝐢𝐤𝐢𝐫𝐢𝐚 𝐭𝐚𝐫𝐚𝐭𝐢𝐛𝐮 𝐤𝐚𝐛𝐥𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐚𝐜𝐡𝐚 𝐤𝐢𝐭𝐮. 𝐓𝐡𝐢𝐧𝐤 𝐰𝐢𝐬𝐞𝐥𝐲 𝐚𝐧𝐝 𝐜𝐨𝐧𝐝𝐮𝐜𝐭 𝐞𝐧𝐨𝐮𝐠𝐡 𝐫𝐞𝐬𝐞𝐚𝐫𝐜𝐡 𝐛𝐞𝐟𝐨𝐫𝐞 𝐥𝐞𝐚𝐯𝐢𝐧𝐠.
𝐊𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐞𝐥𝐞𝐳𝐨 𝐳𝐚𝐢𝐝𝐢 𝐧𝐣𝐨𝐨 𝐏𝐌