Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,292
- 2,953
Miaka hamsini, toka nimezaliwa najiona nimezeeka hata miaka50 sijafikia etinjamaa wanagonga noti tuYaani miaka 50 nchi haichukui Kodi, haiendelezi bandari nyingine, haina mamlaka ya kuhoji na kukagua vitabu vya mapato na matumizi vya mchina.
BIG NOOOOO
Miwatu kama nyie ndo maana nchi haiendeleiSio 99.
Ni 50.mazungumzo yapo.
Tupe wewe terms tujueHivi mlimwamini Magu kuhusu masharti ya huu mradi? Kumbe kuna watu walikuwa wanamwamini kiasi hiki?
Ukweli ni kwamba Magu ali exaggerate masharti terms za huu mradi. Tafuteni ukweli mtajua
Ikichukua jeshi utajuta!!Natamani kusema sasa ni muda sahihi kwa Jeshi kuchukua nchi hii. Ni bora mara mia kuliko haya mafisadi yanayotaka kutumaliza kwa kuwa baba kalala.
Angalau kwa hili umekubaliana na JPM! Ahsante sana!Miaka 99 kwa mchina bila kulipa Kodi? Big no
Mkuu kama unataarifa sio mpatie tu.Yanini kumuuliza maswali.Shusha nondo na wengine tujifunze hizo faidaNani kakwambia ni Bandari isiyo na faida??? Kwa Unajua mradi wa Bandari ya Bagamoyo ulikuwa unahusisha mambo gani??? Au ndo tapeli wenu magufuli aliwalisha matango pori???
Wewe unayajua kama nani?Muhusika?Ungeweka hayo masharti na mkataba watu wakuamini wewe badala ya kumuamini aliye kuwa raisiHivi mlimwamini Magu kuhusu masharti ya huu mradi? Kumbe kuna watu walikuwa wanamwamini kiasi hiki?
Ukweli ni kwamba Magu ali exaggerate masharti terms za huu mradi. Tafuteni ukweli mtajua
😲JPM ndio nani?😲Angalau kwa hili umekubaliana na JPM! Ahsante sana!
Niache kumuamini raisi niamini mtu mwenye id feki JF🤷🏿♂️🤷🏿♂️Hii nchi imejaa mazwazwa sana kiongozi, bado kuna watu wanaamini kila kitu alichokuwa akikizungumza Jiwe ni cha KWELI
BIG NO,Hivi wewe ni Mchina nini??.Umeambiwa mazungumzo yapo
Mbona mna WIVU na bagamoyo?
Bagamoyo kwanza
Yani bandari tuwape wachina,na ushuru wa barabara tuongezewe🤷🏿♂️🤷🏿♂️Akili za wapi hizi?Au hizo roadtolls zitakuwa kwa ajili ya wachina pekee?Usimwamini mchina hata mchana kweupe.Wengi tumejikita kwenye miaka 50 sijui 99... hatujui kua miaka n namba tu cha msingi katika huo muda tutapoteza kiasi gani na tutaingiza kiasi gani..... kutochukua kodi pia inaweza tumika akili mbadala mfano ukaacha kuchukua kodi ukapandisha ushuru wa barabara (Roadtolls)..... na mwisho ukawa hujachukua kodi ila umehamishia goli kwenye ushuru wa barabara..... cha msingi hapa ni kwamba huu mkataba usisainiwe gizani...... mkataba uwekwe wazi..... yasifanyike yale mambo ya Barick na Hayati...... Unaficha mikataba alaf unawaaminisha Wananchi mkataba unafaida..... kwann usiuweke hadharani wenye Nchi yao wajue.... Tusiamin cha kuambiwa bali tujionee kwa macho...... kwa kusema miaka 100 na tusikusanye kodj hiyo haitoshi kwangu Kuukataa au kuukubali huu mradi... bali nahitaji kuujua huo mkataba zaidi.....
50 kwani michache?
Wangekuwa na nia ya win win situation kwanini wasifanye hayo kipindi kile?Waje kukubali kujadiliana baada ya kuona kitumbua kimeingia mchanga?Mchina hawezi fanya biashara ambayo kamwe haiwezi mlipa na kamwe hawezi kwambia biashara imemlipa.Atakwambia tu anakusaidia ila anapata hasara.😂😂Umeambiwa mazungumzo yapo.
hv ilikuaje Terms&Conditions za mkataba wa huu mradi wa bandari zikawekwa wazi hvo??? mbna miradi mingine naonaga mikataba inafanyika kmya kmya sisi raia tunaona utekelezaji wa mradi tu!!Yaani miaka 50 nchi haichukui Kodi, haiendelezi bandari nyingine, haina mamlaka ya kuhoji na kukagua vitabu vya mapato na matumizi vya mchina.
BIG NOOOOO
hawa watu wa asia yaan mchina,mwarabu na mhindi ni mambwa kabsaHata kama ni miaka 50 hapana!!!!.....labda miaka 2!!!
Kama mnavyojua, hawa Wachina are sliperly by character [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kama walivyo Wahindi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Leo umeonekana na akili kidogoMiaka 99 kwa mchina bila kulipa Kodi? Big no