Mrejesho wa taarifa ya ajali iliyotokea Kisutu mnamo majira ya saa 05:45

Kama sio CCTV camera afande angeaminika
 
Au dereva wa mwendo kasi hakumuona mpita njia ? Maana nimefikili angefunga brake au kubana kushoto kwake
Ni ngumu sana kupata hiyo akili ndugu lile ni tukio la ghafla alijaribu kumkwepa jamaa wa Rav 4 ikampeleka uelekeo ule asingeweza kuwahi kukunja kona kwa mara ya pili na mbele yake kuna ukuta umemzuia.
 
Huyo mpita njia mwenye shati la draft amepona?
 

Attachments

  • VID-20230222-WA0201.mp4
    2.5 MB
mbn ktk hii report haijaInclude yule mpita njia!
 
Chanzo cha ajali dereva wa mwendokasi alikuwa anatoka Kivukoni kwenda Kimara alifika mataa wakati anavuka kuna gari ndogo aina ya RVA4 yenye namba ya usajili T 978 DHZ ilikuwa ikitokea posta mpya ikielekea Kivukoni ilikuwa inapita pasipo kuangalia
Tuliambiwa polisi wengi ni form four failures,
Hivi ule upande ilikotokea RAV 4 ni posta mpya kweli!!?
 
kwa graduate wa form four mwenye division four, amejitahidi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…