PreGE2025 Mrema, Kileo, Kigaila, Salumu Mwalimu, Devotha Minja na G 55 wengine rasmi watua CHAUMMA. Walijifanya kukataa, kiko wapi!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Bahati mbaya sana kwa mama la mama safari hii siyo mtelezo kama miaka ya zamani mambo yameshabadilika na kibaya hajajua kama mambo yamebadilika atakapokuja shtuka itakuwa too late.
 
Wote hao ni ma leftovers, sijaona ambaye CDM walau inaweza kusikitika kumpoteza.
.Yaani kifupi ni dili lililokufa, poleni sana CCM, Pole sana Msajili - no any impact at all. Yaani kifupi mmeliwa.

No Reforms.....
 
Ahaaa inachekesha Sana kwanini wameanzia kituo kidogo ??😁😁
 
MTASHANGAA WENZENU WANARAMBA UBUNGE NYIE MNASUBIRI KUIKOMBOA TANZANIA KUTOKA KWA UKOLONI MIAKA MIAMOJA WENZENU WANAKULA NCHI SIASA NI SAYANSI
 
Kidogo kidogo naanza kumwelewa Nyerere kwanini alihofia nchi kuwa mikononi mwa wachaga. Yaani mtu unanunuliwa kwa kupewa jimbo kweli?. Kweli wanasiasa hawana haya usoni.
 
Wakwende zao mikosi mitupu kwenye chama hao. Kwanza huyo ke ana kisirani kibaya sana!
 
Wote hao ni ma leftovers, sijaona ambaye CDM walau inaweza kusikitika kumpoteza.
.Yaani kifupi ni dili lililokufa, poleni sana CCM, Pole sana Msajili - no any impact at all. Yaani kifupi mmeliwa.

No Reforms.....
hao ni kama babitale, hapandi jukwaani lakini ndo stage master, muziki ukivuma anagajwa mwimbaji sio mpuliza zumari
 
Ni hasira tu za kukosa ulaji,ila wakitulia watagundua wameingia cha kike.

Waliofuata mkumbo huko mikoani CHAUMMA haina hata ofisi wala viongozi heri NCCR,ACT,CUF na UDP.
 
wameona aibu kwenda CCM wameamua kuingia CCM tawi dogo kabisa

Wawaulize shoza na mwampamba wako wapi sahizi?
Bora wameingia huko kuliko kubaki kwenye chama kisicho na mwelekeo, chini ya walopokaji Henche na Lisu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…