Sasa mbona hizi biashara zote zinasababisha stress! Mtoa mada anataka biashara ambayo ni stress free!!Wakala (tgo pesa nk)
Nunua mazao uuze baadae
Kopesha kwa riba wafanyakazi
Uza mabalo ya mtumba
25M imezalisha net profit ya 9M tu within 3 good years???hiyo biashara siwezi kufanya wallah bora hela niileLakini kumbuka hela za haraka, hupotea haraka pia. Mimi niliweka 25m miaka mitatu imepita saivi inasoma 34+ sio haba
Sasa mkuu Mimi sijatumia nguvu yoyote. It's just passive income. Biashara ni kipaji bro25M imezalisha net profit ya 9M tu within 3 good years???hiyo biashara siwezi kufanya wallah bora hela niile
Kwenye biashara yako, kamwe usithubutu kumuweka mtu ambae hauwezi kumuwajibisha kwa lolote baya litakalotokea kwenye biashara, tenganisha kabisa biashara na maswala ya kihisia.Je nikiweka ndugu anisimamie au mzazi especially baba hapo vipi
Changamoto ipo kwenye stoo na namna ya kuyatunza hayo mahindi ili yasibunguliwe na wale wadudu, bila hivyo utakuta mahindi yote yamegeuka kuwa unga.Kilimo na biashara ya mazao ni sekta ambayo wengi wameipa mgongo.
Nunua mazao wakati wa mavuno yatunze utauza kwa bei nzuri sana yenya faida nzuri miezi ya mbeleni baad ya mavuno
Mfano rahisi tu: Gunia la mahindi sasa hivi msimu huu wa mavuno baadhi ya maeneo ni 60k mpaka 90k hapa Tanzania
Kufikia mwezi wa tisa sehemu zote Tanzania wanakuwa wamemaliza mavuno
Piga picha kuanzia mwezi wa January na kuendelea gunia la mahindi litakuwa shilingi ngapi kama ulinunua kwa 60k wakati huu wa mavuno
Storage ndio mpango mzima.
20 mln inatosha kufanya yote hayoChangamoto ipo kwenye stoo na namna ya kuyatunza hayo mahindi ili yasibunguliwe na wale wadudu, bila hivyo utakuta mahindi yote yamegeuka kuwa unga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maeneo gani?Hardware njoo ddm faster
Nzuri Sana hii mkuu mahitaji yake hasa Nini Kwa kuanza kama una mtaji wa million 10Au njoo tufungue duka la mbolea ,mbegu ,viatilifu na nkkk tutapoga pesa mno
Kipindi unawaza nini cha kufanya. Tafuta visa nenda majuu kapige box uwe unaijazilizia jazilizia. Akili ikikukaa sawa rudi bongo fanya mambo.
Nunua viwanja viwanja vya mili 3 vitatu = vifanyie Hati kwa mil 1 vyote jumla mil 10 .Kisha tumia mil 2 kwa kila kimoja kujenga msingi wa Romani ya vyumba 3 na inua course 3 jumla utatumia mil mil6 uwekezaji wote mil 16 .Kisha acha miez 4 afu .andikishana na ndugu yako mnaetofautiana ubini kuwa umemuuzia vyote milion 8 *3 inakuwa mil24 .Kisha akae miezi 2 atangaze anaviuza mil 12 vyote .jumla mil 36 .
Kwanin niandikishiane na nduguNunua viwanja viwanja vya mili 3 vitatu = vifanyie Hati kwa mil 1 vyote jumla mil 10 .Kisha tumia mil 2 kwa kila kimoja kujenga msingi wa Romani ya vyumba 3 na inua course 3 jumla utatumia mil mil6 uwekezaji wote mil 16 .Kisha acha miez 4 afu .andikishana na ndugu yako mnaetofautiana ubini kuwa umemuuzia vyote milion 8 *3 inakuwa mil24 .Kisha akae miezi 2 atangaze anaviuza mil 12 vyote .jumla mil 36 .
Million 2 inaweza kujenga msingi wa vyumba vi 3 na kozi 3??Nunua viwanja viwanja vya mili 3 vitatu = vifanyie Hati kwa mil 1 vyote jumla mil 10 .Kisha tumia mil 2 kwa kila kimoja kujenga msingi wa Romani ya vyumba 3 na inua course 3 jumla utatumia mil mil6 uwekezaji wote mil 16 .Kisha acha miez 4 afu .andikishana na ndugu yako mnaetofautiana ubini kuwa umemuuzia vyote milion 8 *3 inakuwa mil24 .Kisha akae miezi 2 atangaze anaviuza mil 12 vyote .jumla mil 36 .
Atakufa kwa presha mkuu mana dk 0 tu account inasoma 0😂Au awe anacheza aviator casino game 🤣🤣