Msaada kwa rafiki anayeuguza moyo uliovunjwa

Msaada kwa rafiki anayeuguza moyo uliovunjwa

Ni utoto na uchanga kwenye mahusiano ndio vinamsumbua. Kama ni wa kishua ndio kabisaa, filamu na maisha ya kudelezwa ushuani vinampeleka puta, Hakuna kingine zaidi.
 
Yaan mtu aache kuhudhuria vipindi Chuo, kisa kuachwa na BF?
hicho ndo alicho endea huko Chuo? Dooooh

Msibaa huu, [emoji22][emoji22][emoji22]
Ukiachana na ile mambo yako ya upinde sometimes huwa unaandika point
 
Japo ukute wazazi/walezi wake wanahangaika na kumpambania binti yao wakijua huko chuo anasoma kwa bidii ili pengine aje kuwa mkombozi wa wengine...🤨 kumbe limtu lilienda chuo kutafuta boyfriend, na wewe rafiki yake unaona upo sawa kabisa eti unawalaumu wanaume na yena unamuombea msaada..☹️
Bladi hell....😕
 
Kama wazazi wako.wanahangaika kutafuta hela usidhani ni wote 😂😂

Relax
 
Mada za kifala, watu tuna hangaika jinsi ya kupata hela,yeye ana hangaika na mapenzi
 
Wanaume: mnaona mwanamke akiumizwa kihisia anavyosaidiwa? Dunia nzima itambembeleza na kumpa sapoti

Ila wa kiume ukiumia kihisia: utakula matusi, utachekwa, utaitwa dhaifu, utataniwa sana. Ni mama yako tu atakayekuonea huruma, hata baba yako asikuonee huruma.

Usimuonee huruma mwanamke. Hiyo ni kazi ya umma. Usifanye maamuzi ya kihisia kwa kumuonea huruma. Protect yourself.
Umesema mama ako atakuonea huruma je mama ako sio mwanamke?

Halafu kwanini wanaume wa siku hizi mnawaonea sana wivu wanawake? hii inafikirisha sana🤔
 
Umesema mama ako atakuonea huruma je mama ako sio mwanamke?

Halafu kwanini wanaume wa siku hizi mnawaonea sana wivu wanawake? hii inafikirisha sana🤔
Maneno ya kuchamba unayo ila utashi wa kuelewa neno mwanamke limetumika katika muktadha tofauti kwenye sentensi moja huna?
 
Matukio kama hayo kwa maisha huwa hayaondoki mpaka ujifunze ndiyo yatakoma, Unachotakiwa kujuwa huyo unaempenda mpaka unakonda wala hana taimu na wewe,Usitoe,usionyeshe upendo wakati wewe kwanza hujipendi.
 
Mzazi anakupeleka shule na huku nyuma wewe unaingia kwenye ukora wa mapenzi, huyo haitaji kusaidiwa au kushauriwa kwa sababu amekaza kichwa sana
 
Back
Top Bottom