Msaada kwa wenye utaalamu na masuala ya dini je ni kweli Quran imeshushwa kutoka mbinguni?

SOMA QUR'AN 3:144 .
Wapi katika aya hii imesema kuwa masihi amekufa?
Aal-e-Imran 3:144

وَمَا مُحَمَّدٌ إِلَّا رَسُولٌ قَدْ خَلَتْ مِن قَبْلِهِ ٱلرُّسُلُۚ أَفَإِي۟ن مَّاتَ أَوْ قُتِلَ ٱنقَلَبْتُمْ عَلَىٰٓ أَعْقَٰبِكُمْۚ وَمَن يَنقَلِبْ عَلَىٰ عَقِبَيْهِ فَلَن يَضُرَّ ٱللَّهَ شَيْـًٔاۗ وَسَيَجْزِى ٱللَّهُ ٱلشَّٰكِرِينَ



Na Muhammad hakuwa ila ni Mtume tu. Wamekwisha pita kabla yake Mitume. Je, akifa au akauwawa ndiyo mtageuka mrudi nyuma? Na atakaye geuka akarudi nyuma huyo hatamdhuru kitu Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu atawalipa wanao mshukuru.
 
jaman kile kifungu nilikupa alivyochukuliwa yesu ulisoma? Ebu rudia kule ...
Ni hivi yesu hakufa na yule aliteswa pale Mungu aliresemble among of them yaani alimfananisha miongo mwao ndo wakamkata ila sio isa ...Isa bin maryam alipaishwa ipo dhahiri.
 
Quran 74:24

Mohamed Alikuja na UCHAWI.......
Usiisome Quran kwa ajili ya kuizushia uongo kwani daima itakuumbua

Aya uliyoitaja ni hii na haizungumzii hayo unayoyasema hapa

Anza kuisoma kuanzia 74:9-24 ujue kilikuwa kinazungumziwa kitu gani.

Al-Muddaththir 74:24

فَقَالَ إِنْ هَٰذَآ إِلَّا سِحْرٌ يُؤْثَرُ


Na akasema: Haya si chochote ila ni uchawi ulio nukuliwa.
 
M@neno mengi haya hayaendani na mada nishakuonyesha aya kwamba yesu alichukuliwa vip ..!

swali kama hakuna sehemu imeandikwa kifo inakuwaj unalazimisha alikufa ..

Ni dhahiri kuchukuliwa kwake yesu alipaishwa rejea comment zangu nimeonyesha aya ilionyesha alivyochukuliwa.
 


قد خات من قنله الرسل

Yaani Mitume wa kabla yake Mtume mtukufu Muhammad "wemepita" have passed away, yaani wamepita ama kwa kufa au kuuawa. Isa (as) alikuwa ni mtume wa kabla ya mtukufu mtume hivyo naye atakuwa alipita (pass away) kama walivyopita mitume wengine wa hapo kabla.
 
Mkuu hivi na wewe unakubaliana na kitendo cha kupigwa na kitu kizito kichwani tena chenye ncha kali kabisa?
Wangeniambia kwamba ilipatikana kwa njia ya "Revelation" angalau naweza kukubali ila kunidanganya kwamba ule ni mwandiko wa Mungu nakataa (Na wengi huamini Mungu alishika kalamu na karatasi).
Ikumbukwe pia zama hizo hakukuwa na matumizi ya karatasi, maandishi yalikuwa yanaandikwa kwenye mawe, ngozi, na vipande vya mbao kwahiyo kama ni kweli kitabu kingekuwa kinapatikana katika mifumo hiyo lakini haiko hivyo.
Sema ndiyi hivyo tena, uongo ukirudiwa kutamkwa mara nyingi huonekana kuwa ukweli
 
Mkuu Manabii wote wamekufa isipokuwa Issa pekeyake
Ni Issa pekeyake ndiye atakeyekuja mara ya 2 na sio nabii wala mtume yoyote .

Huwa najiuliza sana maswali kwann awe yeye na sio kipenzi cha Allah


Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Huwa najiuliza sana maswali kwann awe yeye na sio kipenzi cha Allah


Unayo akili kubwa sana kujiuliza hilo swali, ni Waisilamu wachache sana hujiuliza hivyo, inshallah Allah akipenda nitakudadavulia ukweli kupitia Quran tukufu, ninapata futari kwanza baadaye Taraweh nitarudi.
 
Baada ya kuliwa na kondoo ikapotea tena vichwani mwa waliokariri loh
 
Baada ya kuliwa na kondoo ikapotea tena vichwani mwa waliokariri loh
Rumors zinasema Aisha aliwachezesha maana alikuwa hapendi kunyonyesha watu wazima

Alikuwa ata kipindi Cha Muhammad anawapanga dada zake ndio wanyonyeshe watu wazima
 
Wewe unafuata ayat ambazo ni mutashabih na unaacha aya za wazi kabisa ...hiyo aya inaongelea kuhusu masanamu waliyokuwa wakiabudu washirikina wa makka. Haizungumzii "miungu" inayoabudiwa na dini nyingine.

Mfano mzuri kuna dini zinamwabudu shetani (iblis) , je iblis nae amekufa?

Wakristo ukiacha kumuabudu masihi issa mwana wa Maryam, vile vile wanamuabudu Roho mtakatifu (malaika jibril), je nae amekufa?


Kuna watu wanaabudu majini (mizimu), je hao majini wote wameshakufa?

Aal-e-Imran 3:7

هُوَ ٱلَّذِىٓ أَنزَلَ عَلَيْكَ ٱلْكِتَٰبَ مِنْهُ ءَايَٰتٌ مُّحْكَمَٰتٌ هُنَّ أُمُّ ٱلْكِتَٰبِ وَأُخَرُ مُتَشَٰبِهَٰتٌۖ فَأَمَّا ٱلَّذِينَ فِى قُلُوبِهِمْ زَيْغٌ فَيَتَّبِعُونَ مَا تَشَٰبَهَ مِنْهُ ٱبْتِغَآءَ ٱلْفِتْنَةِ وَٱبْتِغَآءَ تَأْوِيلِهِۦۗ وَمَا يَعْلَمُ تَأْوِيلَهُۥٓ إِلَّا ٱللَّهُۗ وَٱلرَّٰسِخُونَ فِى ٱلْعِلْمِ يَقُولُونَ ءَامَنَّا بِهِۦ كُلٌّ مِّنْ عِندِ رَبِّنَاۗ وَمَا يَذَّكَّرُ إِلَّآ أُو۟لُوا۟ ٱلْأَلْبَٰبِ



Yeye ndiye aliye kuteremshia Kitabu hichi. Ndani yake zimo Aya muhkam, zenye maana wazi. Hizo ndizo msingi wa Kitabu hichi. Na ziko nyengine za mifano. Ama wale ambao nyoyoni mwao umo upotovu wanafuata zile za mifano kwa kutafuta fitna, na kutafuta maana yake; na wala hapana ajuaye maana yake ila Mwenyezi Mungu. Na wale wenye msingi madhubuti katika ilimu husema: Sisi tumeziamini, zote zimetoka kwa Mola wetu Mlezi. Lakini hawakumbuki hayo isipo kuwa wenye akili.
 
Yet again unanukuu aya kiholela bila kuzielewa...hiyo aya inazungumza kuhusu tukio lijalo ktk siku ya Qiyama! Allah atamuuliza Isa na mama yake kuwa je waliwaambia watu kuwa wawaabudu wao badala ya Allah?
 
Mkuu Manabii wote wamekufa isipokuwa Issa pekeyake
Ni Issa pekeyake ndiye atakeyekuja mara ya 2 na sio nabii wala mtume yoyote .

Huwa najiuliza sana maswali kwann awe yeye na sio kipenzi cha Allah


Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kwasababu ALLAH ametaka iwe hivyo. Kwamba mwisho wa siku Masihi Issa ndiye atakayekuja kuondoa mzozo wa dini itafahamika kuwa ipi ni dini ya haki lakini itawafaa nini wale ambao watakuwa wamekufa ilihali hawakuifata dini ya haki?
 
Mkuu wanawake wakiarabu wanawazimikia wanaume waafrika na kuchanganyikiwa hadi wanaume wao wanakasirika na kupelekea Tunisia kuwafukuza kwasababu ya moto mkali nigger anawapelekea wanawake wa kiarabu.
 
Mkuu wanawake wakiarabu wanawazimikia wanaume waafrika na kuchanganyikiwa hadi wanaume wao wanakasirika na kupelekea Tunisia kuwafukuza kwasababu ya moto mkali nigger anawapelekea wanawake wa kiarabu
 


Zuckerman
 


Acha kudanganya watu;;

Lini mizimu ikaanzwa kitajwa kwa dhamiri ya binadamu??

Aya imeanza na و الذين يدعون yaani "Na wale ambao huitwa", hiyo "aladhina" ni kwa ajili ya watu. Mfano الذين أمنوا yaani Wale (watu) walioamini, hakuna mizimu wala majini hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…