James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,529
- 16,291
Hongera kwa kuikopi maana kashaifuta.Ni jambo rahisi nenda ustawinwa jamii utaongozwa hatua kwa hatua
Noo dont worry, mdogo angu ana ka trauma ,i can sense that. Ndio maana hapa kashindwa kabisaa kuandika zile comment zake fupi fupi za "duuuhh au "aiseee".
KWa sisi tuliokaa sana ma wanawake tunatambua saikoloji yao.
Kwahiyo unafu
Kwahiyo unafurahia watu kuachana mkuu
We jamaa una sound kama ndo huyo jamaaSi umesema wapo kwa baba yao?
Tafuta mume olewa zaa wengine huku unaendelea kufuatilia hao wengine.
Ukienda ustawi wa jamii watakusaidia
Sina uhakika lakini kwa wengi hutaka attachment ambayo ataitumia kama advantage ya kum frustrate mwanaume akae kumuendesha endesha mara ustawi mara mahakamani. Mradi kero tu. Tunaona haya.Hongera kwa kuikopi maana kashaifuta.
Kwanini mumeo ahisi watoto si wake? Huu mgogoro wao uko hapo. Ulivyo olewa alikuruhusu kufanya aina hiyo ya kazi na inakuweka mbali na familia na watoto? Baba ndo anajua mazingira gani yanafaa kwa watoto wake kazi unayofanta labda haina usalama wa malezi kwa watoto.
Halafu shukuru Mungu kawachukua wengine wanaachiwa watoto wanalalami. ka.
Kakupa uhuru. Furahia maisha yako kadri utakavyo.
U r wrong dada angu. Understand the concept in here. Unachochora kusiko. Hakuna anayefikiri hivyo, hayo ni mawazo yako🤣🤣🤣🤣🤣hizo comments kumbe zinawauma wengi. Nikiandika fupi tabu nikiwaandikia ndefu victim wengi mnaibuka aiseeeeeee
dont get personal lady, try to be objective. ukiona u feel offended kwenye mitazamo ya watu, jua kabisa u r too personal. N that is not a health perspective. Why so obssesed with my ex-wife? Is she reflecting your personality?
Am trying to understand where this came from?
🚮Maskini ushaanza kulia kizungu kutoka kwenye panic attack ya kutukana mpaka kujigeuza victim aiseeee. Nadhani ushapata somo hapa punguza kulia lia kwenye nyuzi kama hizi kutwa kumchoresha dada wa watu
Kuna mazingira siyo mara zote inakuwa hivyo.Kwa alichoandika kasema yupo tayari watoto waende kwa Baba wakuitimiza umri sahihi. Sheria inatoa custody ya watoto kwa mama mpaka miaka 7. Baada ya hapo custody unaweza kubaki kwa mama au kwenda kwa baba.
Swala la pili kuhusu kuacha kufanya kazi. Hata Mimi ningependa Mke wangu alee watoto lakini Kuna kitu lazima nikifanye vizuri. Kwanza lazima nihakikishe Nampa fedha ya matumizi binafsi. Anataka kununua pedi, kusuka je ataniomba Kila siku? Mwamba anazingua ukimkataza mke asifanye kazi hakikisha unanunua vitu vya ndani vyote, unaweka akiba ya watoto ikitokea umekufa, na unampa fedha ya matumizi binafsi. Zaidi ya hapo unamnyanyasa.
Haya ndo matatizo ya watu wa JF "inaonekana" mwendo wa ramli tu pole mkuu atleast hujaniita single mom maana ndio matusi yenu makubwa humu. Ustawi hawatoi talaka mkuu inaonekana hujui kitu unawaza cha mmoja kujishusha haipo hio ndoa ishakufa hio ni wao kwenda kuimaliza mahakamani
Mkuu ni hivi ukiona umeshindwa kuelewana na mzazi mwenzio kwa njia ya kawaida hasa kuhusisha hata wazazi wa pande zote mbili ukakimbilia mahakamani jua mwisho hautakuwa mzuri hpa tunaongelea watoto mkuu, future ya watoto inajengwa na nyie wazazi tena nyote wawili binafsi ukinipeleka huko sijui mahakamani jua ndo imeisha hiyo nita ect kwa miezi 2 au 3 kitakachofata ni watoto hutawaona na nitahama kabisa usijue nilienda wapi lakini kwann tufike huko tunashindwa kuelewana kila mtu ataendelea na mipango yake na watoto tutalea kwa makubaliano tena pasipo uadui tatizo lenu wanawake mnaonaga mna haki sana kwa watoto kuliko baba zao yakiwashinda ndo mnaanza lawama kama hizi nachojua na huyu mleta mada inaonekana shida ni yeye japo haweki wazi wanaume tunawapenda sana watoto wetu sana yaani nipo tayari kufanya lolote kwa ajili ya wananguHaya ndo matatizo ya watu wa JF "inaonekana" mwendo wa ramli tu pole mkuu atleast hujaniita single mom maana ndio matusi yenu makubwa humu. Ustawi hawatoi talaka mkuu inaonekana hujui kitu unawaza cha mmoja kujishusha haipo hio ndoa ishakufa hio ni wao kwenda kuimaliza mahakamani
U r wrong dada angu. Understand the concept in here. Unachochora kusiko. Hakuna anayefikiri hivyo, hayo ni mawazo yako
Kama mmeshindwana, watoto wanaweza kuishi kwa mzazi yeyote, hilo halina tatizo.
Tatizo ni pale mzazi mmoja anapomnyima "ACCESS" mwenzie kuwaona watoto.
Na ikumbukwe kisheria mzazi unayefanya ivo ni unawakosea watoto na si huyo mwenzio.
Hivyo ili mambo yasiwe mengi, muambie tu huyo mzazi mwenzio kwamba unachohitaji ni access ya kuonana na watoto muda wowote utakaopata nafasi.
Au muwekeane makubaliano kabisa watoto watakuwa wanakaa kwake lini na lini, na watakuwa wanakaa kwako lini na lini
Kama mmeshindwana, watoto wanaweza kuishi kwa mzazi yeyote, hilo halina tatizo.
Tatizo ni pale mzazi mmoja anapomnyima "ACCESS" mwenzie kuwaona watoto.
Na ikumbukwe kisheria mzazi unayefanya ivo ni unawakosea watoto na si huyo mwenzio.
Hivyo ili mambo yasiwe mengi, muambie tu huyo mzazi mwenzio kwamba unachohitaji ni access ya kuonana na watoto muda wowote utakaopata nafasi.
Au muwekeane makubaliano kabisa watoto watakuwa wanakaa kwake lini na lini, na watakuwa wanakaa kwako lini na lini
Sijamaanisha hilo kuachana kupo ila kwa watu walio zaa pamoja haitakiwi kuachana kwa uadui maana tayari mna kitu kinacho waunganisha yaani kuna kitu huwa hamuelewi jinsi unavyo achana na kijana au demu ambaye hujazaa naye ni tofauti na unavyoachana na mtu uliye zaa naye hii ikae kichwani mwako uliye zaa naye anaheshima yake japo ndo mtakuwa mmeachanaKaja kuomba ushauri tumempa. Kwa hio wewe unataka waendelee kugandana mpaka wauane?
Ndo maana jamaa anakata mzizi wa frustration kuna jamaa kamwambia huyo dada azae wengine. Lakini kwa haraka dada anashida fulani hapa hajasema vitu vingi. Kwa mfano ktk harakati za kutafuta kazi za serikali nani alikuwa anamsapoti akienda interviews.Sina uhakika lakini kwa wengi hutaka attachment ambayo ataitumia kama advantage ya kum frustrate mwanaume akae kumuendesha endesha mara ustawi mara mahakamani. Mradi kero tu. Tunaona haya.
Maana akipewa watoto ataanza kusumbua pesa ya matunzo mara ada mara matibabu
Usifate huu ushauri mdogo wangu, kaa kimya fanya kazi tena weka juhudi zako zote kwenye kazi yako.Rudi nyumbani ulee familia!
Haya ndiyo madharau ulikuwa unamletea ndiyo maana akalutimua eeeeh?Hayupo serikalini, uwezo wa kuhonga kiasi hicho hana labda ndugu zake wamsaidie.
Mkuu ni hivi ukiona umeshindwa kuelewana na mzazi mwenzio kwa njia ya kawaida hasa kuhusisha hata wazazi wa pande zote mbili ukakimbilia mahakamani jua mwisho hautakuwa mzuri hpa tunaongelea watoto mkuu, future ya watoto inajengwa na nyie wazazi tena nyote wawili binafsi ukinipeleka huko sijui mahakamani jua ndo imeisha hiyo nita ect kwa miezi 2 au 3 kitakachofata ni watoto hutawaona na nitahama kabisa usijue nilienda wapi lakini kwann tufike huko tunashindwa kuelewana kila mtu ataendelea na mipango yake na watoto tutalea kwa makubaliano tena pasipo uadui tatizo lenu wanawake mnaonaga mna haki sana kwa watoto kuliko baba zao yakiwashinda ndo mnaanza lawama kama hizi nachojua na huyu mleta mada inaonekana shida ni yeye japo haweki wazi wanaume tunawapenda sana watoto wetu sana yaani nipo tayari kufanya lolote kwa ajili ya wanangu