Sababu hii ni ya kiuoumbavu sana, hata chizi hawezi kusikiliza huu ujinga!Hapo kuna Watalii Macho ya Dunia YANAPITA......Dunia Kijiji
Tumetangaza Royol Tour.....
Ngorongoro Multiple land....WaTanzania wanaishi huko kama Ukerewe
Huko siyo Taliban Mitutu siyo Sehemu YAKE...
Rethink!!!!
Watanganyika hawawezi kuruhusiwa kufanya mikutano au kuingia UAE!Wakomae hapo hapo mpaka kieleweke ,kwanini wazuiwe wasifanye mkutano? Kunani hapo?
Jema ni kusimama na wananchi wa ngorongoroTuki comment mnasema tuna comment upuuzi ..tukinyamaza pia mnalalalmika kwanini hatu comment..
Lipi jema kwenu?
Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro,
Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka pale mpaka watakapo rusiwa kuingia,
Swali Ngolongolo imekua sehemu nchi ndani ya chini mpaka kuzuia Makam kutorusiwa kwenda onana na wananchi wa Ngorongoro?
Serikali tupe majibu
View attachment 2743917
Tundu Lissu na wananchi wamekaa katikati ya barabara ya kuelekea Karatu hadi watakaporuhusiwa kuingia Ngorongoro. Tundu Lissu amesisitiza, Ngorongoro siyo gerezani na Maasai siyo watumwa.
Jema ni kusimama na wananchi wa ngorongoro
Abdul yule fisadi anayetumia cheo cha mamake kutuibia?Huu ni mkakati wa kumtengenezea mama Abdul ajali ya kisiasa
Hakuna kitu kama hicho watu wanaumia kwenye ardhi yao we unasema hivi hii hapanaIf a group of people thinks the same ...someone is not thinking...
Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro,
Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka pale mpaka watakapo rusiwa kuingia,
Swali Ngolongolo imekua sehemu nchi ndani ya chini mpaka kuzuia Makam kutorusiwa kwenda onana na wananchi wa Ngorongoro?
Serikali tupe majibu
[/QUOTile ya jana ilikua longido sio?Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro,
Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka pale mpaka watakapo rusiwa kuingia,
Swali Ngolongolo imekua sehemu nchi ndani ya chini mpaka kuzuia Makam kutorusiwa kwenda onana na wananchi wa Ngorongoro?
Serikali tupe majibu
View attachment 2743917
Tundu Lissu na wananchi wamekaa katikati ya barabara ya kuelekea Karatu hadi watakaporuhusiwa kuingia Ngorongoro. Tundu Lissu amesisitiza, Ngorongoro siyo gerezani na Maasai siyo watumwa.
View attachment 2743928View attachment 2743929
Au wasanifu wa mitandao na tekinologia walikua kazini 🤓