Kumbe hii NCHI KUNA MAENEO WATANZANIA HAWATAKIWI KWENDA?
BASI TUNGETANGAZIWA KWANINI WANAZUIA KAMA KUNA MAGONJWA KAMA KIPINDUPINDU AU CORONA?
Ndiyo yapo maeneo haturuhusiwi kwenda kama Zanzibar Mtanganyika lazima aingie kwa pasport japo ni sehemu ya Tanzania
 

Ina maana wataendelea kubaki hapo kama wale ‘Wasabato Masalia’ waliokuwa wamepiga kambi pale JNIA ( Airport ) miaka ile hadi wakajapukutika wenyewe baada ya kukabwa na njaa!
 
Mambo Mengine inabidi kuweka Video pekee na kuuacha Umma ushuhudie.
Ni aibu kwa serikali inayojinasibu kama inafungua nchi, wakati sio kweli.
Huwezi kufungua nchi kwa kuwazuia kuongea!
[emoji116]


View: https://youtu.be/eSdiogj9wgw?si=QhZ59-98n-JyWCnJHapo ni Njiani kutoka Karatu kuelekea Gate la Loduare Ngorongoro. Ambapo polisi wameuzuia msafara wa makamu mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu ili asiingie Ngorongoro.
 
Je wote kwenye hilo kundi wana msimamo sawa? Mapigo ya moyo yanafanana?
 
Bomu la machozi au maji ya washa washa ataweza kweli kuyahimili huyo mlemavu wa mguu?
 
Tulilie haki ya kuishi ya wamasai
 
Naunga mkono.
Nawasihi wananchi wa huko wajitokeze kwa wingi kuziba hiyo barabara isipitike hadi hapo msafara wa Makamu Mwenyekiti utakapokuwa umeruhusiwa kuingia Ngorongoro.
 
Wafinywe wamefanya kosa gani? Halafu baadae utadai Uislam ni dini ya haki
Kufunga barabara ni kosa la uhujumu uchumi.

Tena wanakamatwa wafichwe ndani wakajitetee mahakamani. Wote hao kundi zima.

Halafu nyinyi wafuasi wao wa nyuma ya keyboard mtoke mkafanya maandamano.
 
wanao ona mbali kisiasa ndani ya chama cha huyu jamaa, wameshajitenga na wanaendelea kujiweka kando zaid na harakati za huyu jamaa.
There is no way Elite persons wata join au kustay kwenye this kind of self emberasing politics. kama vile watoto manunda bana......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…