Haujaona nanyie mlivyo jipanga kumpokea RC mpya kuanzia Kirumi, Oriyo, Gachuma, Mika, Gamasara, Buhemba hari Tarime....ππMimi siko Arusha niko Tarime huku
Mbona Wakuu wa Mikoa wengine tunapanga nao foleni acheni ushabiki wa Kijinga.Sasa mkuu wa mkoa ulitaka akae kwenye foleni na msafara wake? Mkuu wa mkoa ndie raisi wa mkoa au hujui hilo?
Mkuu punguza makasiriko, wakati Makonda akiwa benchi zaidi miaka miwili nini kiliongezeka kwenye maisha yako binafsi!??,na kurudi kwa Makonda kunakupunguzia nini kwenye maisha yako na familia yako!?.., unaweza usielewe maswali yangu leo ila siku moja utaelewa. Maisha ni mafupi sana, kukasirika juu ya mwanaume mwingine kupiga hatua ni dalili za kuwa mchawi uzeeni. Aliyepewa kapewa, kubali tu.Mshamba ana mbwembwe za kikolomije ila ajue Arusha ndiyo mlango wake wa kutokea
Nakazia.Mimi siko Arusha niko Tarime huku,ila kwa machalii wa chuga atulize msambwanda huo vinginevyo atachemsha mapema sana
Hayo ya kwake hajijui yeye ni nani kwenye mkoa anadhalilisha cheo cha mkuu wa mkoaKwake tu?Kilimanjaro Muhamed Babu anakaa kwenye foleni kama watu wengine, why yeye tu?
Acha upuuzi na umangi meli na ushamba !
Hawa Hawa waliosunbuliwa na dogo mshika bisibisi aliyeitwa Dangote?Mimi siko Arusha niko Tarime huku,ila kwa machalii wa chuga atulize msambwanda huo vinginevyo atachemsha mapema sana
pole yao wote , ujana maji ya moto, ipo siku atanza kujuta kusema laiti ningelijua kujifunxa hekhma.Hayo ya kwake hajijui yeye ni nani kwenye mkoa anadhalilisha cheo cha mkuu wa mkoa
Wapi umeona nimekasirika wewe chawa wa nyamitako?Mkuu punguza makasiriko, wakati Makonda akiwa benchi zaidi miaka miwili nini kiliongezeka kwenye maisha yako binafsi!??,na kurudi kwa Makonda kunakupunguzia nini kwenye maisha yako na familia yako!?.., unaweza usielewe maswali yangu leo ila siku moja utaelewa. Maisha ni mafupi sana, kukasirika juu ya mwanaume mwingine kupiga hatua ni dalili za kuwa mchawi uzeeni. Aliyepewa kapewa, kubali tu.
Punguza chuki kuepuka matatizo ya Afya ya akili yanayokunyemelea muda huu.Wapi umeona nimekasirika wewe chawa wa nyamitako?
Sina chuki na mtu wewe naona unataka kunizoea tu achana na mimi sitaki mazoea na wadudu chawa.Punguza chuki kuepuka matatizo ya Afya ya akili yanayokunyemelea muda huu.
Kuna A. akili fupi na B.empty kabisa, huyu ni Bakili fupi hizi