Msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano

Msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano

Sasa mkuu wa mkoa ulitaka akae kwenye foleni na msafara wake? Mkuu wa mkoa ndie raisi wa mkoa au hujui hilo?
Mbona Wakuu wa Mikoa wengine tunapanga nao foleni acheni ushabiki wa Kijinga.
 
Mshamba ana mbwembwe za kikolomije ila ajue Arusha ndiyo mlango wake wa kutokea
Mkuu punguza makasiriko, wakati Makonda akiwa benchi zaidi miaka miwili nini kiliongezeka kwenye maisha yako binafsi!??,na kurudi kwa Makonda kunakupunguzia nini kwenye maisha yako na familia yako!?.., unaweza usielewe maswali yangu leo ila siku moja utaelewa. Maisha ni mafupi sana, kukasirika juu ya mwanaume mwingine kupiga hatua ni dalili za kuwa mchawi uzeeni. Aliyepewa kapewa, kubali tu.
 
Msafara wa makonda, Arusha alitokea KIA
 
Attachments

  • VID-20240408-WA0050.mp4
    6.3 MB
Kwake tu?Kilimanjaro Muhamed Babu anakaa kwenye foleni kama watu wengine, why yeye tu?
Acha upuuzi na umangi meli na ushamba !
Hayo ya kwake hajijui yeye ni nani kwenye mkoa anadhalilisha cheo cha mkuu wa mkoa
 
Mimi siko Arusha niko Tarime huku,ila kwa machalii wa chuga atulize msambwanda huo vinginevyo atachemsha mapema sana
Hawa Hawa waliosunbuliwa na dogo mshika bisibisi aliyeitwa Dangote?

Labda Arusha nyingine
 
Boda boda ni watu wapuuzi sana hii nchi,
Kipato chao duni lakini wana muda wa kupoteza kwenda kumpokea mtu badala kufanya kazi.
 
Mkuu punguza makasiriko, wakati Makonda akiwa benchi zaidi miaka miwili nini kiliongezeka kwenye maisha yako binafsi!??,na kurudi kwa Makonda kunakupunguzia nini kwenye maisha yako na familia yako!?.., unaweza usielewe maswali yangu leo ila siku moja utaelewa. Maisha ni mafupi sana, kukasirika juu ya mwanaume mwingine kupiga hatua ni dalili za kuwa mchawi uzeeni. Aliyepewa kapewa, kubali tu.
Wapi umeona nimekasirika wewe chawa wa nyamitako?
 
Back
Top Bottom