Msaidizi wangu wa ndani anagawa vitu vyangu kwa wanandoa

Kuwa na ndoa siyo kuwa na kila kitu, kuna wenye ndoa wana njaa kali, ongea naye kwa kina.
 
Hii kazi inabidi uimalize mwenyewe. Subiri kesho hasira na uzuni vipungue.
Yy ndo anamjua amalize mwenyeq mambo ya vjjn hayo anakuhamishia ww lakin nikwambie kitu hao wakishachoka lazma watafute kisa cha kutokea na kukuwacha na maugomvi na majirani bora anza kutafuta mdada halafu umpenmkono wa kwa heri usisubir akuwache yy kumbuka lazma hapo aondoke tena kwa sharing maana ndivo walivo wanathamini watu wa nje halfu ww hujamzaa lazma aondoke chukua ushaur
 
Kwa hawa wasichana unatuma nauli wk anakwambia anataka kurudi bora wafanyiwe hivo ili wakienda kwa mwengine waende na adabu hawa jumatatu anakuaga anaondoka mbali na wema wrote uliomfanyia na ww unaenda job sasa wakipata washenz ni bora ili wakumbuke walipotoka
 
Ongea naye kistaarabu tu....mwambie hivi vitu nimenunua tuvitumie kwa mwezi mzima. Kwa hiyo lazima vifike mwisho wa mwezi. Mwambie kama kuna mtu anaomba umgawie tafadhali akupigie simu umgawie mwenyewe ili ili ujue mmetoa kiasi gani ambacho itabidi kununua vingine kujazia ili kukidhi bajeti ya mwezi.
Asipokuelewa fungia vitu vyako.
 
Dah pole sana, Cha muhimu mkanye asiwe anagawa vitu hovyo ikishindikana basi itabidi umuondoe tu hakuna namna
 
Yani unavumiliaa upuuzi wa beki 3 miaka 15?????
 
Kama nimemuelewa Miss Natafuta huyo mfanyakazi anapeleka vitu kwa jirani ambaye ni dada yake mfanyakazi.
Siyo kwamba kachoka kazi. Hapo dawa kuhamia nyumba ya mbali na huyo jirani kama hajapanga.
 
Hawa tukiwazungumzia hatutofanya kaz mm mwez uliopita nilimtoa urangini hao waone hv hv wakija kama watu ila baada ya kufika kiswahili Chao na ndg zake qa buguruni. Mm kila wk naenda sokoni ila tokea waondoke kila kitu mpk unashangaa nyanya sado 2 mwez nzima mana unazipitia inayoanza kuharibk unanza nayo yy wala halafu wanatabia ukiwambia kula kwa pamoja unasikia wameshiba ukienda jikoni kakalia sahani huoni upande wa 2 halafu hata saa tisa anamka anakula mpk nilipomkal8sha chn baada ya kuona kila angle nafatilia aliaga maana anaza na uji wa mtt akipika unakuta katoa kikombe kila bajet anayumbisha
 
Wakusemeshwa hv sio bek 2 3
 
Ushauri wa maana kabisa ni kufungia vitu vyako....mi nishalala hadi na vitunguu uvunguni kisa huu ujinga.

Wakimaliza kula vitu vyako watamtafutia kazi kwingine, jipange.
Huyu hapa kweli anawajua wafanyakazi big up mama ajitayarishe hajui saa wala siku
 
Single mama kuna wakati mnazingua. Kuna jirani yangu hapa karibu na dukani kwangu ni single mama mwenye mtoto kama wa miaka 9... kila mara huwa naona dogo hata kama kuna baridi havai sweta wala jacket... siku moja nikiwa serious nimemkazia macho nikamuuliza kwanini huvai sweta au jacket wakati kuna baridi? Akawa hana cha kujibu... nikamwambia iwe mwisho kukuona hivyo. Mama yake akasema bora umenisaidia kumwambia maana huwa hasikii... nikashangaa sana. Bahati nzuri dogo kaacha hiyo tabia.
 
Huyo anaemlaghai si ana mume. Mchukulie mume wake. Huyo mume atakuwa anafidia vile alivyochukua mke wake🀣

Hii kama ni siriaz thing. Mwambie msichana wa kazi usimuogope na umwambie kabisa unanunua vitu vya mwezi mzima. Na pia mwambie aache hiyo tabia ya kupeleka vitu kwa xxxx.😎
 
huyu ananifaa coca nitongozee hii nikawe mbaba kwenye hiyo familia...🀣
Em sema kweli, nifanye mafekeche ili awe wizzo ake. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…