TANZIA Msanii Mkongwe Mohammed Fungafunga (Mzee Jengua) afariki Dunia

TANZIA Msanii Mkongwe Mohammed Fungafunga (Mzee Jengua) afariki Dunia

Legend R.I.P ....Japo inaumiza wanakufa na majina makubwa lakini familia zao zinaishi maisha ya chini sana....Tanzania kuwa msanii wa maigizo au Bongo Movie ..utajizolea umaarufu lakini siyo mbesa
 
Huyu ni legend,,😥😥RIP
Yeah ni level za kina mzee Majuto nakumbuka alikua na mtoto wake anaitwa Peace kwenye maigizo ya kidedea enzi hizo da alikuwaga noma sana dingi mkali mtoto anatoroka kwenda disco
 
Kwani kuna mahala popote pale nimeandika kuwa Mimi GENTAMYCINE sitokufa? Waambieni 'Ugonjwa wa Nyani' huu unawaliza mno Wasanii Wetu.
Nini dalili za ugonjwa huo? hapo ndipo palipo na tatizo! au ni wa-ki-saniii!
 
Hayo maradhi yaliyomuua Jengua ni mapya kabisa huku duniani
 
Nilikuwa namkubali sana huyu mzee kwa jinsi alivyokuwa anajua kuuvaa uhusika.
Pole kwa Tasnia ya Filamu pole kwa Familia. RIP mzee wetu.
 
Daah R.i.p mzee wetu.

Tutaendelea kukumbuka kwa husika zako ::mzee mchawi, mzee mwenye roho mbaya, mzee wa kijiji, mzee wa busara na n.k.
katika kazi zako za sanaa
 
Back
Top Bottom