Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Apumzike mzee huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugonjwa wa nyani ni upi huo?Kwani kuna mahala popote pale nimeandika kuwa Mimi GENTAMYCINE sitokufa? Waambieni 'Ugonjwa wa Nyani' huu unawaliza mno Wasanii Wetu.
Aaaah, we popoma unapenda sana hizi tuhuma.Kama tumepanda Basi kwenda Morogoro kwa ulichokiandika hapa hivi sasa tupo 'Ubena Zomoni' na muda mfupi tu baadae tunaingia zetu Msamvu.
Yeah ni level za kina mzee Majuto nakumbuka alikua na mtoto wake anaitwa Peace kwenye maigizo ya kidedea enzi hizo da alikuwaga noma sana dingi mkali mtoto anatoroka kwenda discoHuyu ni legend,,😥😥RIP
Nini dalili za ugonjwa huo? hapo ndipo palipo na tatizo! au ni wa-ki-saniii!Kwani kuna mahala popote pale nimeandika kuwa Mimi GENTAMYCINE sitokufa? Waambieni 'Ugonjwa wa Nyani' huu unawaliza mno Wasanii Wetu.