Mtumishi wa Mungu, Dr. Ian Ndlovu, ametabiri kifo cha mwanamziki nyota, kutoka nchi ya Afrika ya Mashariki, iliyokuwa na mpiganiaji uhuru maarufu wa Afrika ambaye sasa ni marehemu. Ingawa hakutaja moja kwa moja, wengi wanahisi anamaanisha Tanzania. Ndlovu alisema alipokea maono haya wakati wa maombi ya kufunga mwezi Januari na pia mara mbili mwezi Aprili. Amewataka waumini wake
kumuombea mwimbaji huyo ili apate wokovu na ulinzi. Wengi wanaamini kuwa mwimbaji huyo
nyota anayetajwa ni Diamond Platnumz. Dr. Ndlovu ameomba ujumbe huu umfikie mwimbaji husika moja kwa moja.
Dr. Ian Ndlovu alishawahi tabiri kifo cha Magufuli
View: https://youtu.be/5Sa2qL_q_sw?si=-sxDRHlxzhWX_F--