Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

Utumishi wa umma ni wito hiyo elfu 50 wengine haitoshi hata kulipia kingamuzi sijui mnalipaje bills zenu🥺
Ni kweli bosslady nywele tu unasuka kwa Tsh 300k na kwe mwezi unasuka mara 4 bajeti ya mwezi unatumia 5M kwenye Mambo madogomadogo Kama kusafisha kucha na mafuta sasa hii elfu 50 waliyoongezewa isingeweza kukusaidia chochote
 
Ukiwa na IDs mbili sometime unajikuta unachanganya kama hapo ulivyoandika hii threads mara mbili kwa Ids mbili na title tofauti. But content the same.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…