Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

😀 😀 😀unaongezewa elfu 20000 alafu maisha yanapanda kwa laki
Wenzio wako hapa kuchukua hiyo twenty kwenda kujipongeza
IMG-20220722-WA0000.jpg
 
Utumishi wa umma ni wito hiyo elfu 50 wengine haitoshi hata kulipia kingamuzi sijui mnalipaje bills zenu🥺
Ni kweli bosslady nywele tu unasuka kwa Tsh 300k na kwe mwezi unasuka mara 4 bajeti ya mwezi unatumia 5M kwenye Mambo madogomadogo Kama kusafisha kucha na mafuta sasa hii elfu 50 waliyoongezewa isingeweza kukusaidia chochote
 
Screenshot_2022-07-22-17-17-59-177_org.mozilla.firefox.jpg
Ukiwa na IDs mbili sometime unajikuta unachanganya kama hapo ulivyoandika hii threads mara mbili kwa Ids mbili na title tofauti. But content the same.
 
Back
Top Bottom