Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

Mama alisema ataongeza kima cha chini kwa 23.3% kwa kima cha chini.

Ongezeko la bajeti ya mshahara mwaka huu ni 19.1%.

Hivyo basi kima cha juu kitapata si chini ya( 23.3+19.1)÷2=21.2%

Wafanyakazi kuweni wapole. Yajayo yanafurahisha
 
Watumishi wa umma wanategemewa na wapiga kura wengi kujikimu kimaisha kama vile wazee, wanafunzi wa vyuo na familia kwa ujumla, kwahiyo wana uwezo wa kuwashawishi wategemezi wao kubadilisha mwelekeo wa kupiga kura.
 
Mama alisema ataongeza kima cha chini kwa 23.3% kwa kima cha chini.

Ongezeko la bajeti ya mshahara mwaka huu ni 19.1%.

Hivyo basi kima cha juu kitapata si chini ya( 23.3+19.1)÷2=21.2%

Wafanyakazi kuweni wapole. Yajayo yanafurahisha
Kelele zilivyokuwa nyingi kwenye majukwaa Yao... Wakiwaaminisha watanzania kuwa serikali inaongeza mishahara... Ulaghai wa kisiasa !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…